Tutakumbushana tena 2025 Magufuli kama atakubali kuachia madaraka basi atalazimisha kutuachia Rais anayependa yeye

Ni usonji wa kiwango cha icc mtanzania kuwa na fikra kama za huyu mtoa uzi.eti "atapanga rais awe nani" hiyo ndo akili ya hapo ufipa? Unafaham mchakato wa kumpata mgombea ndani ya ccm??
Yani asubuhi hii watu hawajapiga hata mswaki unawaamusha kwa ugori kama huu??
Mkuu jarbu kufikiria tena tafadhali😐
Hivi unadhani hilo hatalifanya Magufuli?

Iwapo alidiriki kuwaambia akina Kabudi na Lukuvi, kuwa hawawezi kugombea Urais mwaka 2025, eti kwa sababu ya umri!

Hivi anaweza kusema kuwa akina Kabudi hawana sifa za kugombea urais?

Anaweza kutuonyosha ibara inayozungumzia "maximum" ya umri unaotakiwa ili ugombee urais?

Ninachojua Mimi ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, imesisitiza tu "minimum" ya umri wa Rais anayetakiwa kugombea urais na wala haitaji umri "maximum" wa kugombea urais.

Hivi kwa Rais wa aina hii anayeweza kuisigina sigina Katiba ya nchi anavyotaka, atashindwa nini kutuletea mtu "wake" na kutulazimisha tumchague?
 
akulazimishe uchague?? How come??
 
1607169396285.png

habari zenu watanzania hauani
 
Wewe tangu ukatiwe mirija yako, na kutumbuliwa unufaika na serikali kisha ukakimbilia Urusi imekuwa nongwa, ukilala, ukitembea barabarani ukikaa unaota enzi hizo zirudi. Hayo yote uliyonena yote ni ramli za kipagani ambazo hazina athari maana wananchi hawaamini katika hivyo vitu.

The next president is yet to be revealed, your prediction is a nightmare dream.

Take Note the following for flashback come 2025 and do not mislead the esteemed JF members:

"An unexpected Tanzanian with the ability and qualifications of 'introvert' and 'extrovert' leadership style will be the sixth term President of the United Republic of Tanzania in 2025"
 
Mbona tunasikia Nyerere alishindwa kumuweka mtu anayemtaka,Mkapa naye alishindwa na mwisho Kikwete nae pia alishindwa.
Nyerere aliweka Mwinyi na Mkapa.

Kikwete alijiweka mwenyewe kupitia genge lake, Magufuli kawekwa na Mkapa.
 
Ila Magufuli kumwambia mtu hawezi kuwa rais alizingua kweli,nafikiria itakuwaje maisha yake nje ya urais kwamba anakuwa kundi la wazee wanaowashwa washwa.
 
Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo

1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya rais mstaafu.

2. Hataibua hoja au hataruhusu hoja za kuhoji matumizi yasiyofuata taratibu za Manunuzi kama vile ununuzi wa Ndege, na ujenzi wa miradi mbali mbali Ambayo haikufuata utaratibu na hatuoni uwazi.

3. Hataruhusu kuhoji haki za watu zilizopotea na haki za watu waliouwawa au kufichwa kabisa.

4. Hataruhusu kuhojiwa Kwa wafanya biashara Walidhulumiwa na serikali na wengine kufungwa kwa kisingizio cha Uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.

5. Hataruhusu kabisa uwazi wa namna yeyote.

KATIKA WATU ANAOWAONA WATAIWEZA KAZI HIYO

1. Bwana Hussein Mwinyi wa Zanzibar, huyu atakuwa ni yule wa Ndiyo mzee wangu mstaafu pumzika usiguswe

2. Paul Makonda, kwa Muda huu anatuzuga kamsahau lakin kwa Mabalaa na Maajabu ya Tanzania ukashangaa 2026 anapigiwa mizinga

3. Kassim Majaliwa, Huyu naye yuko Obedient Sana kwa Magufuli

4. Hamis kigwangalla,

Si lazima jina liwe kwenye hayo ila atapitishwa mwenye sifa za hao

Tukumbushane July 2025

Mungu atuweke na yeye amuweke pia maana ya Mungu Mengi hapa kati kati

Amen

Britannica
Sijui kwanini, lakini ex-president anapokuwa kama alivyokuwa Nyerere kwa Mkapa, au Mkapa kwa Magu, kuna zarura zinatokeaga...
 
Huu utaratibu upo tokea enzi za mchonga meno baba yenu wa taifa
 
Kama historia ni Mwalimu

Basi inaonyesha lame duck presidents hawajawahi kuwa na nguvu hizo.

Nyerere alishindwa kumsimika Salim

Mkapa alishindwa kumzuia Kikwete

Kikwete alishindwa kumsimika Membe

Ngoja tumuone Ngosha, ila kwa jinsi watu walivyomchoka huyu jamaa kunaweza kukawa na moto mkali sana kuelekea 2025
 
Unaweweseka,!
 
kuna watu walipiga kelele sana kuwa Oct 2020 lazima Magufuli akabidhi ofisi, sasa hivi mnasema tena 2025. Mnaonekana kama wagonjwa wa akili punguzeni maneno, juzi tu hapa wenzenu wamekimbia kama wezi kwa fedheha na aibu kubwa baada ya watanzania kufanya maamuzi.
 
Kuna Vitetesi fulan japo 2025 ni mbali ila kwa uoga wa Rais Magufuli, endapo akikubali kuachia madaraka basi atauingilia Uchaguzi kuanzia mchakato wa Mgombea ndani ya Chama hadi Uchaguzi Mkuu kwa ujumla kuhakikisha anayebaki ni yule atakayefanya yafuatayo

1. Hataruhusu kujadiliwa kwa aliyofanya rais mstaafu.

2. Hataibua hoja au hataruhusu hoja za kuhoji matumizi yasiyofuata taratibu za Manunuzi kama vile ununuzi wa Ndege, na ujenzi wa miradi mbali mbali Ambayo haikufuata utaratibu na hatuoni uwazi.

3. Hataruhusu kuhoji haki za watu zilizopotea na haki za watu waliouwawa au kufichwa kabisa.

4. Hataruhusu kuhojiwa Kwa wafanya biashara Walidhulumiwa na serikali na wengine kufungwa kwa kisingizio cha Uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.

5. Hataruhusu kabisa uwazi wa namna yeyote.

KATIKA WATU ANAOWAONA WATAIWEZA KAZI HIYO

1. Bwana Hussein Mwinyi wa Zanzibar, huyu atakuwa ni yule wa Ndiyo mzee wangu mstaafu pumzika usiguswe

2. Paul Makonda, kwa Muda huu anatuzuga kamsahau lakin kwa Mabalaa na Maajabu ya Tanzania ukashangaa 2026 anapigiwa mizinga

3. Kassim Majaliwa, Huyu naye yuko Obedient Sana kwa Magufuli

4. Hamis kigwangalla,

Si lazima jina liwe kwenye hayo ila atapitishwa mwenye sifa za hao

Tukumbushane July 2025

Mungu atuweke na yeye amuweke pia maana ya Mungu Mengi hapa kati kati

Amen

Britannica
Ambaye ni Mwinyi wa Zanzibar
 
Vile vipaja vyake hujaviona? hafiki 2025
 
Kama historia ni Mwalimu

Basi inaonyesha lame duck presidents hawajawahi kuwa na nguvu hizo.

Nyerere alishindwa kumsimika Salim

Mkapa alishindwa kumzuia Kikwete

Kikwete alishindwa kumsimika Membe

Ngoja tumuone Ngosha, ila kwa jinsi watu walivyomchoka huyu jamaa kunaweza kukawa na moto mkali sana kuelekea 2025
Huyu atataka kufanya hivyo ila nadhani wakati huo ndio atapambana na chama.
 
Back
Top Bottom