Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

ila le proffeseri namwelewa sanaa na ile mimacho yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binafsi naona amefanya kazi nzuri sana ,kijana alitutambia sanaa katufanya wengine tujione hatuna wanawake ila yeye tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ANAANDIKA NIKI WA PILI
_
Ukiwa na familia, umefanikiwa kua na watu ambao ni muhimu kuliko wewe katika maisha yako, ukisimama kwa ajili yao umesimama kufanya kazi ya Mungu, busara yako itaongezeka, nidhamu ya maisha itabadilika, maono yako yatakua makubwa, vipawa vyako vitafunguka, Maisha yako yataongeza maana....familia ni baraka na ni chem chem.....Ukisimama kwa ajili ya familia Jeshi la Mungu liko nyuma yako, hutashindwa kamwe...>>>BY nikkwapili"
 
Hii before au after?
 
Kwani hakuna hata aliyewahi kula hii kitu atupe briefing kidogo kama ipo Safi kwa bed? Maana Ina bastola hatari na Ina masura murua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…