Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

ila le proffeseri namwelewa sanaa na ile mimacho yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binafsi naona amefanya kazi nzuri sana ,kijana alitutambia sanaa katufanya wengine tujione hatuna wanawake ila yeye tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ANAANDIKA NIKI WA PILI
_
Ukiwa na familia, umefanikiwa kua na watu ambao ni muhimu kuliko wewe katika maisha yako, ukisimama kwa ajili yao umesimama kufanya kazi ya Mungu, busara yako itaongezeka, nidhamu ya maisha itabadilika, maono yako yatakua makubwa, vipawa vyako vitafunguka, Maisha yako yataongeza maana....familia ni baraka na ni chem chem.....Ukisimama kwa ajili ya familia Jeshi la Mungu liko nyuma yako, hutashindwa kamwe...>>>BY nikkwapili"
FB_IMG_1617910101958.jpeg
 
ANAANDIKA NIKI WA PILI
_
Ukiwa na familia, umefanikiwa kua na watu ambao ni muhimu kuliko wewe katika maisha yako, ukisimama kwa ajili yao umesimama kufanya kazi ya Mungu, busara yako itaongezeka, nidhamu ya maisha itabadilika, maono yako yatakua makubwa, vipawa vyako vitafunguka, Maisha yako yataongeza maana....familia ni baraka na ni chem chem.....Ukisimama kwa ajili ya familia Jeshi la Mungu liko nyuma yako, hutashindwa kamwe...>>>BY nikkwapili"View attachment 1747017
Hii before au after?
 
Kwani hakuna hata aliyewahi kula hii kitu atupe briefing kidogo kama ipo Safi kwa bed? Maana Ina bastola hatari na Ina masura murua sana.
 
Back
Top Bottom