Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Pole yake kwa kweli.
JamiiForums1084543631.jpg
 
Kama wewe ni mwanaume basi umeshavuliwa ubingwa.

Hakuna mwanaume anaweza kuandika ulichoandika. Amini hivyo
Ooza nikki wa pili nimeona post yako na zur ig we lea tu watoto wa wanaume wenzio bes of luck 😬😬😬👻👻👻👻
 
🤣🤣🙌 ila watu humu jmn hawajali mtu atajisikiaje wao wanatiririka tu.Anyways DC wa watu yupo busy na kazi zake
 
Khaa !
Watu wa jf[emoji119]
Kwahiyo mmeng'ang'ania wee huyo countrywide sijui woodland kuwa ndio Nick [emoji16]
Wakati mwenyewe amewakatalia, nyie mnalazimisha awe yeye.
 
Yaani mie Huwa nawashangaa sana wanaojiita wasanii hasa wakiume walivyo wajinga..

Mbona mtaani Kuna mademu wazuri na wakali kuliko hao mnaohangaika nao kwenye social media?

Na Wala hatutumii gharama kubwa.Wanawake wa kwenye mitandao hao maarufu ni Kwa Ajili ya wanaume wenye pesa ambao hawawezi tongoza demu mtaani.

Ni kama.ofisini mademu wa huko ni WA mabosi Kwa vile boss hawezi ingia kitaa akasimamisha mwanamke Kwa sababu za Kulinda status akikataliwa so wanawake zao ni hao mastaa,wa maofisini na Bar..

Mie wanawake wa hivyo sichukui maana kwanza wako kibiashara Kwa kuwa Sina status yeyote kubwa naingia kitaa nasimamisha pisi inakula mistari na inaelewa..

Mnahangaika na hao ngoja wawaonyeshe moto kwanza
Ndio maana huwa namkubali sana Mwana FA, ana show off kwa mke wake au familia yake kwa ujumla
 
Niki hakumuelewaga huyo demu Ni zile pisi Kali halafu zinabutuliwa kisenge yaani maji Mara moja mwepesi Kama table ya kwanza yaani anawashwa washwa tu DC akaingia mazima akielekezwa haelewi
Hahahahahah DC alikuwa bingwa wa Nyeto za Standard Gauge! Akila pisi basi ni zile zilizomuonea huruma unakuta pisi mbovu unakula sababu ndio iliopo mezani.

Ila baada ya mambo kuanza kufunguka ndio ikajitokeza ile mama kali jamaa akaona humu ndio pa kuishi. Kumbe mama ilimbless tu mwana kazama miguu yote. Kafosi kingi hadi kamvesha pete kumbe alikuwa kashabeba mimba ya baharia mwengine. Jamaa anasubiria kid anakuta kumbe cargo sio yake.

Mwanamke kama hajapenda hatuliagi hata umpe dunia. Ila akinasa sehemu anatulia vizuri tu sasa cha kuomba ni anase kwako.
 
Back
Top Bottom