Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Ila kuna kitu pia inabid mkuchunguze taratibu Nick pia atakuwa na shida
Kuna page insta zinapostig wadada} cutegurls,universty girls nk} wadada wote wanaopostiwa kwenye hizo page ukiclick kuwaangalia unakuta Nick kawafollow
Yaan nick kafollow wadada wote wanaopostiwa kwenye page zile za kuwatangaza
Iv ye atakuwa katulia kweli? Yawezekana nae ana mengi mpk mwanamke kamchoka

Kila page ya mwanamke utakuta Nick na Dogo janja wamefollow
Duh!...mnachunguza kila kitu Sasa.
 
Kwa Kweli sipendi kumfurahia matatizo yake ila jamaa alikuwa kero Sana Kuna wakta anajiona mwerevu San kulikon vijan walio wengi ,mjuaji na anajisikia Kama Ni mtu special San amshukuru mama kumpa udc vinginevyo Ni siku nyingi tu angemwaga na huyo bint

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sijui hata kama unapataga muda wa kufanya kazi au kupumzika.
Sasa mie kuwa wa kawaida na kutokua mzuri inahusu nn hapaa? Km picha zangu uli save na unazoo means umezikubali na zimekubambaaa,

Mie ni pisi kaliiiii, hata wee nikitaka kukupa offer ya nyapu huchomoiiii, etii mie mbayaaa huku picha zangu ziko kwa gallery unapigia nyetoooo mxxxieeeeeew.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo Nick ntamtwezaa had baas, ungana nae wee bas niwatweze woteeee. Lol
Hahaaaaaaa, haya nimetoka kanisani sasa ila nakushauri tu kwa Nia njema dada, usidharirishe na kutunga uongo kuhusu wengine. Hata kama tuna fake ID ila Karma is real. Kuwa na Jumapili njema.
 
Ila kuna kitu pia inabid mkuchunguze taratibu Nick pia atakuwa na shida
Kuna page insta zinapostig wadada} cutegurls,universty girls nk} wadada wote wanaopostiwa kwenye hizo page ukiclick kuwaangalia unakuta Nick kawafollow
Yaan nick kafollow wadada wote wanaopostiwa kwenye page zile za kuwatangaza
Iv ye atakuwa katulia kweli? Yawezekana nae ana mengi mpk mwanamke kamchoka

Kila page ya mwanamke utakuta Nick na Dogo janja wamefollow
Tunomba hio page mkuu.
 
Back
Top Bottom