Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Binadam wakijua udhaifu wako uko kwa mwanamke macho yao yote watahamishia ulipo udhaifu wako had waone mwisho wako.
Hata kama umezimika kwa demu kiasi gani bora ujikaze usidhihirishe udhaifu wako hata demu mwenyewe asijue udhaifu wako ni yeye laa sivyo utalia siku moja