cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
BF wangu yupi? Huyu wa ukweli nlokua nae, au Una maanisha huyu Nick??Boy friend wako huwa anakaa kimya sana watu wakianza kuzungumzia Stock exchange,economy investment na financial planning—Anagonja topic ya man united na mademu walio na makalio makubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muhurumieni mwenzenu khaaaaah.