mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ehe za kaziWewe una Nini usijukweze na kuumiza watu humu na fake id. Unamuumiza jamaa kwanini kwa kumsema vibaya? Mbona wewe ni wa kawaida Wala huna uzuri Wala quality unayojisifia nayo humu? Zile picha zako za kule jukwaa la kuweka selfies Bado ninazo. Nenda taratibu na wenzio humu majukwaani. Usinyanyase na kudharirisha wenzio bila sababu kwa kujiona wewe ni bora na wa thamani.
Humtendei haki huyu mwenzio. Unawafanya na kuwaumiza wenzio. Ufanyacho sio kizuri.
Ova