Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

sura nzuri
shape nzuri
akili ziko vizuri
hapa hata tabia itakuwa nzuri

sasa kwa nini usiwe na furaha!


Sura feki,
shape ya dukani,
akili ziko kama kifurushi cha siku moja,
tabia za kukopa,

Halafu eti uwe na furaha,?
 
Kuna vitu inabidi tu viwe hivo, mimi kama mimi siwezi kumuacha my wangu eti kisa kanichiti yani achiti hadi kidudu kipungue simuachi....labda niwe na sababu nyingine.
Mimi hata kama miaka kumi imepita kama nna ushahidi wa kutosha naacha.
 
sura nzuri
shape nzuri
akili ziko vizuri
hapa hata tabia itakuwa nzuri

sasa kwa nini usiwe na furaha!


Sura feki,
shape ya dukani,
akili ziko kama kifurushi cha siku moja,
tabia za kukopa,

Halafu eti uwe na furaha,?

Unataka kusemaje!
 
Back
Top Bottom