Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

1. Kabla ya jamaa alikuaga na dogo mmoja Mtoto wa Mama hv alikua anasoma CBE ( dogo alikua mtu WA kulia kila kitu Mama).

2. Baadae Bibie kajichanganya kwenye zile semina za mchongo za Ruge za fursa ndo Mnyambisi akazimia hips bila kutafakari akaingia mzobe-mzobe, huyoo mkuku mpaka Tabata -anapoishi Baba yake binti (Mzee Chapombe tu) kumvisha Pete na kuzaa nae.

3. Muda wote Wahuni wametulia wanamchek mluga Luga na speed zake.

NB: Prof alikaa hapo kitambo, ikiwemo Ile safari ya Paris.
Mamamae [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila kuna kitu pia inabid mkuchunguze taratibu Nick pia atakuwa na shida
Kuna page insta zinapostig wadada} cutegurls,universty girls nk} wadada wote wanaopostiwa kwenye hizo page ukiclick kuwaangalia unakuta Nick kawafollow
Yaan nick kafollow wadada wote wanaopostiwa kwenye page zile za kuwatangaza
Iv ye atakuwa katulia kweli? Yawezekana nae ana mengi mpk mwanamke kamchoka

Kila page ya mwanamke utakuta Nick na Dogo janja wamefollow
Nikki was after most of miss university Girls . I kind seen evidence of This . Ali hustle kwa my girl Akiwa Tayari na mama zuri
 
1. Kabla ya jamaa alikuaga na dogo mmoja Mtoto wa Mama hv alikua anasoma CBE ( dogo alikua mtu WA kulia kila kitu Mama).

2. Baadae Bibie kajichanganya kwenye zile semina za mchongo za Ruge za fursa ndo Mnyambisi akazimia hips bila kutafakari akaingia mzobe-mzobe, huyoo mkuku mpaka Tabata -anapoishi Baba yake binti (Mzee Chapombe tu) kumvisha Pete na kuzaa nae.

3. Muda wote Wahuni wametulia wanamchek mluga Luga na speed zake.

NB: Prof alikaa hapo kitambo, ikiwemo Ile safari ya Paris.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] boraa usemee wee. Nikisema mie nma nongwaa.
 
1. Kabla ya jamaa alikuaga na dogo mmoja Mtoto wa Mama hv alikua anasoma CBE ( dogo alikua mtu WA kulia kila kitu Mama).

2. Baadae Bibie kajichanganya kwenye zile semina za mchongo za Ruge za fursa ndo Mnyambisi akazimia hips bila kutafakari akaingia mzobe-mzobe, huyoo mkuku mpaka Tabata -anapoishi Baba yake binti (Mzee Chapombe tu) kumvisha Pete na kuzaa nae.

3. Muda wote Wahuni wametulia wanamchek mluga Luga na speed zake.

NB: Prof alikaa hapo kitambo, ikiwemo Ile safari ya Paris.
Wanawake mnaoenda sana umbea na ujinga. Huu muda si ungehudumia mume?
 
Back
Top Bottom