Tutaona mwisho wenu ninyi timu kusifia sifia ya Rais Samia

At Calvary

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
4,533
Reaction score
3,595
Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.

Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni.

Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.

Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.

Vinginevyo ajiuzulu.

 
Mzee utangojea sana hizi ni zama za kiongozi anayesikiliza wataalamu sio zama zile za stone age ambapo wataalamu waliitwa kushauriwa na sio kushauri, tunaiona +255 inayotembea na dunia kusonga mbele.
Kuna wataalamu gani twiter.??
 
Mbona hamna jema enyi machogo?
Tulieni msosi unaandaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…