Tutarajie press muda wowote kuanzia sasa kutoka Yanga SC

Tutarajie press muda wowote kuanzia sasa kutoka Yanga SC

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Mitaa imetamalaki kila mmoja anaizungumzia Simba SC, matokeo ya kishindo usiku wa jana umempa tabasamu kila Mtanzania.

Hii ni hatua kubwa sana kwa Simba na taifa kiujumla, baada ya Simba tutinga robo fainali caf confederation cup kumeifanya Tanzania kupeleka uwakilishi wa vilabu vinne musimu unaofuata.

Kumekuwa na tabia za kishamba kutoka Yanga SC kuitisha press hasa kipindi Simba inapofanya vizuri, basi nao lazima watafute namna ya kubalansi stori ili nao wapate japo nafasi ya kuzungumziwa.

Ndugu zangu yanga jifunzeni kwa watani zenu simba ndio wanawacha hivyo, sasa nyie endeleeni kushupaza shingo mtakuwa wasindikizaji mpaka liamba.
 
Back
Top Bottom