Tutashuhudia wizi na ufisadi wa kutisha awamu hii kwasababu waliopo madarakani HAWANA uhakika wa kupata madaraka tena!!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
9,863
Reaction score
20,806
Wataiba Sana wakijua fika hawatashika madaraka tena na wamekata tamaa.

Ni sasa na Sio wakati mwingine tena!ndivyo wawazavyo mioyoni mwao.wataingia mikataba ya kifisadi ya kutisha ambayo itatuathiri miaka zaidi ya mia Moja ijayo!wanajua fika wananchi wa kawaida hawawataki na wameshawakataa kata kata mioyoni.namna pekee ni kula vya mwisho mwisho.

Huu ni mwanzo tu tutashuhudia filamu nyingi Sana za mabilioni ya mapesa wanajua wasipoiba sasa hawatapata nafasi tena kwani hatamu walioshika ipo ukingoni kabisa!

Wamechanganyikiwa sana MUDA unavoenda Kasi na 2025 inakaribia.wanapanga kujilimbikizia Mali nyingi Sana kama akiba ya watoto wao!wanahisi hawana muda wa kutosha!!!

Kama mamlaka za nchi zisipo liona hili nionalo kuna uwezekano wajukuu zetu wakakosa kabisa ardhi ya kumiliki kutokana na mikataba ya mahekta na vivutio vingi kuchukuliwa na wawekezaji!Tunaenda kuwa kama jamhuri ya kenya HASA mwenye umiliki wa ardhi!!

Wenye nchi fanyeni jambo hadi 2025 itakuwa too late kwa Kasi hii ya ufisadi inayoendelea!hatuna mlinzi wa rasilimali zetu tena!aliepo ni muuzaji na akiendelea hadi 2025 KILA kitu kitauzwa kabisa hatutabaki na kitu.

Naamini wenye nchi mpo humu !nawatahadharisha mapema sana msilale wezi wanatuuza kwa Kasi Sana!fanyeni Jambo tupone.
 
mikataba inasainiwa huko amerika ni hatari tupu.
 
Hilo ni moja , mbili wanajua kabisa hakuna wa kuwafanya lolote, hilo ni kosa kubwa sana.
 
State ilichelewa Sana kuweka mifumo ya uwajibikaji!sijui ilimuogopa Nani!!?wakati Wana uwezo wa kukatisha pumzi yeyote anaetishia usalama wa taifa!Sasa sijui wizi na ufisadi Sio hatari kwa taifa hadi wamekaa kimya kingi kwa mamiaka yote haya!!!?
 
Huwezi kua hakimu kuhukumu kesi yako mwenyewe "you can't be a judge in your own case"

kilicho kua kinahitajika ni kua na mihimili inao jitegemea ila unfortunately the executive alisha meza bunge na mahakama, hapo usitegemee check and balance hakuna good laws good governance

kuna ulazima turudi kwenye drawing table tuanze upya.
Watu wengi walikua na matumaini na jpm kwasbb hakua kwenye deep katika chama, tukategemea ataleta sura mpya ya siasa ila was too axcited na akaboroga zaidi na kuunda untouchable group of 'sukuma gang' wenye ruhsa ya kuiba kuua kupora na kufunga watu, tukarudi on square one.

Kwahiyo tuombe mungu tupate mwanzo mpya na kiongozi mpya. Japo hili litachukua mda sio chini ya miaka 30-50 kwanini generation iliopo its already corrupted sio rahisi kupata kiongozi asio kua na mawazo ya kupiga pesa ya umma, kusogeza ndg jamaa na marafiki kwenye strategic government posts, asie kua fikira za kikanda au kidini, asie kua mnafiki, this wii take quite some years to come .
 
Mkuu good observation big up Sana!!
 
Nchi Ina utawala wa Sheria hata wakifisadi ukweli utafahamika tu.

Ndio maana hata Leo mfano kupitia ripoti za CAG, Taifa limeendelea kufahamu ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma uliofanywa kipindi cha awamu ya Tano.
 
Wataiba Sana wakijua fika hawatashika madaraka tena na wamekata tamaa.

Ni sasa na Sio wakati mwingine tena!ndivyo wawazavyo mioyoni mwao.wataingia mikataba ya kifisadi ya kutisha ambayo itatuathiri miaka zaidi ya mia Moja ijayo!wanajua fika wananchi wa kawaida hawawataki na wameshawakataa kata kata mioyoni.namna pekee ni kula vya mwisho mwisho.

Huu ni mwanzo tu tutashuhudia filamu nyingi Sana za mabilioni ya mapesa wanajua wasipoiba sasa hawatapata nafasi tena kwani hatamu walioshika ipo ukingoni kabisa!

Wamechanganyikiwa sana MUDA unavoenda Kasi na 2025 inakaribia.wanapanga kujilimbikizia Mali nyingi Sana kama akiba ya watoto wao!wanahisi hawana muda wa kutosha!!!

Kama mamlaka za nchi zisipo liona hili nionalo kuna uwezekano wajukuu zetu wakakosa kabisa ardhi ya kumiliki kutokana na mikataba ya mahekta na vivutio vingi kuchukuliwa na wawekezaji!Tunaenda kuwa kama jamhuri ya kenya HASA mwenye umiliki wa ardhi!!

Wenye nchi fanyeni jambo hadi 2025 itakuwa too late kwa Kasi hii ya ufisadi inayoendelea!hatuna mlinzi wa rasilimali zetu tena!aliepo ni muuzaji na akiendelea hadi 2025 KILA kitu kitauzwa kabisa hatutabaki na kitu.

Naamini wenye nchi mpo humu !nawatahadharisha mapema sana msilale wezi wanatuuza kwa Kasi Sana!fanyeni Jambo tupone.
WACHA WATU WALE KWA UREFU WA KAMBA ZAO ILI WASHIBE WASIVIMBIWE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
... official reports zinaonesha hapajawahi kuwa na ufisadi wa kutisha ndani ya taifa hili kuzidi ule wa awamu ya 5. Ufisadi wote wa awamu zote combined (excluding ule wa awamu ya 5) haujawahi kufikia ule wa awamu ya 5 (just 5+ yrs). Endelea kuota!
 
Nchi Ina utawala wa Sheria hata wakifisadi ukweli utafahamika tu.

Ndio maana hata Leo mfano kupitia ripoti za CAG, Taifa limeendelea kufahamu ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma uliofanywa kipindi cha awamu ya Tano.
... hilo ni la muhimu sana; transparency and democracy are pillars of good governance! Mipumbavu ilitaka kufunga watu midomo na kuendekeza utawala wa chama kimoja ikidhani ndio utawala bora!
 
Huwezi kua hakimu kuhukumu kesi yako mwenyewe "you can't be a judge in your own case"

kilicho kua kinahitajika ni kua na mihimili inao jitegemea ila unfortunately the executive alisha meza bunge na mahakama, hapo usitegemee check and balance hakuna good laws good governance

kuna ulazima turudi kwenye drawing table tuanze upya.
Watu wengi walikua na matumaini na jpm kwasbb hakua kwenye deep katika chama, tukategemea ataleta sura mpya ya siasa ila was too axcited na akaboroga zaidi na kuunda untouchable group of 'sukuma gang' wenye ruhsa ya kuiba kuua kupora na kufunga watu, tukarudi on square one.

Kwahiyo tuombe mungu tupate mwanzo mpya na kiongozi mpya. Japo hili litachukua mda sio chini ya miaka 30-50 kwanini generation iliopo its already corrupted sio rahisi kupata kiongozi asio kua na mawazo ya kupiga pesa ya umma, kusogeza ndg jamaa na marafiki kwenye strategic government posts, asie kua fikira za kikanda au kidini, asie kua mnafiki, this wii take quite some years to come .
... na drawing board ni Katiba Bora; very funny wanaipinga!
 
Wataiba Sana wakijua fika hawatashika madaraka tena na wamekata tamaa.

Ni sasa na Sio wakati mwingine tena!ndivyo wawazavyo mioyoni mwao.wataingia mikataba ya kifisadi ya kutisha ambayo itatuathiri miaka zaidi ya mia Moja ijayo!wanajua fika wananchi wa kawaida hawawataki na wameshawakataa kata kata mioyoni.namna pekee ni kula vya mwisho mwisho.

Huu ni mwanzo tu tutashuhudia filamu nyingi Sana za mabilioni ya mapesa wanajua wasipoiba sasa hawatapata nafasi tena kwani hatamu walioshika ipo ukingoni kabisa!

Wamechanganyikiwa sana MUDA unavoenda Kasi na 2025 inakaribia.wanapanga kujilimbikizia Mali nyingi Sana kama akiba ya watoto wao!wanahisi hawana muda wa kutosha!!!

Kama mamlaka za nchi zisipo liona hili nionalo kuna uwezekano wajukuu zetu wakakosa kabisa ardhi ya kumiliki kutokana na mikataba ya mahekta na vivutio vingi kuchukuliwa na wawekezaji!Tunaenda kuwa kama jamhuri ya kenya HASA mwenye umiliki wa ardhi!!

Wenye nchi fanyeni jambo hadi 2025 itakuwa too late kwa Kasi hii ya ufisadi inayoendelea!hatuna mlinzi wa rasilimali zetu tena!aliepo ni muuzaji na akiendelea hadi 2025 KILA kitu kitauzwa kabisa hatutabaki na kitu.

Naamini wenye nchi mpo humu !nawatahadharisha mapema sana msilale wezi wanatuuza kwa Kasi Sana!fanyeni Jambo tupone.
Weka ushahidi, maneno matupu Ni km hadithi za abunuas
 
Actually ufisadi ni mzuri kwa mzunguko wa fedha kitaani.
 
Nchi Ina utawala wa Sheria hata wakifisadi ukweli utafahamika tu.

Ndio maana hata Leo mfano kupitia ripoti za CAG, Taifa limeendelea kufahamu ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma uliofanywa kipindi cha awamu ya Tano.

Walivofahamu mlichukua hatua gani?!
 
Back
Top Bottom