NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Wataiba Sana wakijua fika hawatashika madaraka tena na wamekata tamaa.
Ni sasa na Sio wakati mwingine tena!ndivyo wawazavyo mioyoni mwao.wataingia mikataba ya kifisadi ya kutisha ambayo itatuathiri miaka zaidi ya mia Moja ijayo!wanajua fika wananchi wa kawaida hawawataki na wameshawakataa kata kata mioyoni.namna pekee ni kula vya mwisho mwisho.
Huu ni mwanzo tu tutashuhudia filamu nyingi Sana za mabilioni ya mapesa wanajua wasipoiba sasa hawatapata nafasi tena kwani hatamu walioshika ipo ukingoni kabisa!
Wamechanganyikiwa sana MUDA unavoenda Kasi na 2025 inakaribia.wanapanga kujilimbikizia Mali nyingi Sana kama akiba ya watoto wao!wanahisi hawana muda wa kutosha!!!
Kama mamlaka za nchi zisipo liona hili nionalo kuna uwezekano wajukuu zetu wakakosa kabisa ardhi ya kumiliki kutokana na mikataba ya mahekta na vivutio vingi kuchukuliwa na wawekezaji!Tunaenda kuwa kama jamhuri ya kenya HASA mwenye umiliki wa ardhi!!
Wenye nchi fanyeni jambo hadi 2025 itakuwa too late kwa Kasi hii ya ufisadi inayoendelea!hatuna mlinzi wa rasilimali zetu tena!aliepo ni muuzaji na akiendelea hadi 2025 KILA kitu kitauzwa kabisa hatutabaki na kitu.
Naamini wenye nchi mpo humu !nawatahadharisha mapema sana msilale wezi wanatuuza kwa Kasi Sana!fanyeni Jambo tupone.