Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia.

Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi.

Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe dunia mnavyoficha ushahidi.

Jueni tu siku ya kufa nyani miti yote uteleza.
 
Hii ni mijitu mijinga sana. Enzi zile technically ziliisha MO29. Chochote mnachokipanga against haki nawaambie kitawamaliza. Waache waendelee
 
Na lazima manajeshi ndo yakapigishwe vibarua hapo.
Yaani mambo yanatabirika kirahisi sana.
 
Akili ya mtanzania inasikitisha sasa umeua watu.unaficha ushahidi haufichiki maana watu hawajawapata ndugu zao
 
kuna kijana huko tiktok abili anawaita primitive
 
Dunia ya sasa kuficha ukweli ni ngumu
 
Fahamumi tu, Hilo jengo ,muonekano wake Picha zake zipo !!.

MABADILIKO yoyote ya muonekano na Majokofu ,kunawathibitishia hata wasoifaham hiyo Mochwari kua ni kweli MIIILI ILE YA VIDEO NI YA MOCHWARI YA MWANANYAMALA.

Watu Wema wako, wako Wahudumu wa Afya wenye Hofu ya Mungu
 
Sa100 must go
 
Ila hii nchi yote hayo kwa ajili ya madaraka tu au kuna kingine?
Hivi ni kibri cha uzima wenzetu hamtakufa?
Huyu mwanamke na serikali yake nadhani tofauti yao na zama za firauni ni jinsia yake na zama tu ila huyu ni ibilisi kabisaaa...Mungu amuadhibi leo duniani na kesho Qiyama kwa dhulma anazofanya
 
Nadhani kuna agenda kubwa sana zaidi ya madaraka
 
Uzuri ni kwamba hata wakibadilisha, bado tutapata video zao wakiwa wanabadilisha 😂

Sasa hv sio 1970s kwamba TV ipo Ikulu tuu ili rais aje atudanganye kuwa amepata maono khs jambo fulani.

Sasa hv hatuangalii TBC kujua mambo yanayoendelea, kila kitu tunamaliza kwenye simu.
 
Ila hii nchi yote hayo kwa ajili ya madaraka tu au kuna kingine?
Hivi ni kibri cha uzima wenzetu hamtakufa?
Huyu mwanamke na serikali yake nadhani tofauti yao na zama za firauni ni jinsia yake na zama tu ila huyu ni ibilisi kabisaaa...Mungu amuadhibi leo duniani na kesho Qiyama kwa dhulma anazofanya
Binafsi nimejiuliza maswali mengi sana, kuna faida kubwa sana huko kwenye madaraka kiasi kwamba mtu yupo tayari kutumia gharama ya damu
 
Back
Top Bottom