Yamekuwa hayo tena? Si nyie mlikuwa mnatutambia kwamba kafundisha soka Real Madrid?Matola atatoa ushauri gani kwa kocha anayepiga mateke hadi viti? Simba wakimbakiza huyu kocha nitajua hawana malengo makubwa ya timu kufanya vizuri.
Kocha ni takataka kabisa huyu. Kaua viwango vya wachezaji mshenzi mkubwa huyo.
Mtalaumu TU mpango wa tajir ulikuwa Ni kupunguza (expenditure) kwa hyo labda tajir hakusemaHata kina rweymamu wanakaa bench bila kutoa mchango wowote, simba wamefukuza makocha wa makipa na viungo bila sababu wakiacha wapika majungu
Wengine wajuwaji Sana, hawapendi kushauriwa. Tutamlaum bure Matola.
Kwa saikolojia yangu ndogo, body language ya Matola inanionyesha hakubaliani na kocha Mkuuu.
Hoja yako ni ya msingi kabisa. Lkn hoja inakosa support ya vielelezo vya ndani ya timu, kwamba Pablo ni tatizo hasa ktk nini, Ni nini anafanya, au Ni namna gani anaongoza benchi la fundi ktk hali ulizozitaja. Ni ushuhuda wa wachezaji wenyewe au Ni ushahidi gani ulio nao kutoka ndani ya kambi ya mazoezi ya timu.Tabia za Mwalimu zinamchango mkubwa kwa mwanafunzi kufauru somo. Mwalimu ni kiungo katika kunogesha akili ya mwanafunzi. Mwalimu anaweza kuwa na digriii mia moja, lakini akikosa sifa moja muhimu ya kujuwa kuishi na kukabiliana na mazingira anayofanyia kazi na kusoma maisha na Tabia za mwanafunzi wake, si msaada tena.
Nachelea kusema hata mpira uliotufikisha katika nafasi tulizozipata ni zao la tabia zilizojengwa na waliotangulia.
Mwalimu mkali anaficha madhaifu yake ya kukosa umahili katika kufundisha. Silaha kubwa ya walimu Kama hawa ni kujenga hofu kwa mwanafunzi hali inayompelekea mwanafunzi kukosa confidence na hata kufeli.
Tujiulize Ziko wapi pass milioni zileee!
Wachezaji si walewale!
Leo wachezaji hawaonani, wanapapara, wanakitete hawana nguvu na majeruhi. Kulikoni?
Tutafakari vizuri kwa vile ni kipindi muhimu Cha kujenga au kubomowa timu. Tutaacha wachezaji wazuri kwa kufuata kinachoitwa ripoti ya mwalimu ambae mwenyewe ndio tatizo.
Ni ivyo tuuu.
Wala tatizo sio Pablo kabisa tangu mwanzo Simba was poor in striking eg mechi ya ngao ya hisani Mugalu kapoteza scoring chances zaid ya 4 kwenda Jwaneng watu wanakabia macho tutaachaje kupigwa!?Kabla hajafika Simba ilikuwa katika hali gani?
Uliionaje Simba iliyopigwa na Jwaneng Taifa?
Alikuwepo Pablo?
Ulionaje Simba mechi 2 za mwanzo?
Alikuwepo Pablo?
Kwanini mnataka kukimbia tatizo la Msingi na kulikimbiza kwa kocha?
Sikubaliani katika Hilo.Wala tatizo sio Pablo kabisa tangu mwanzo Simba was poor in striking eg mechi ya ngao ya hisani Mugalu kapoteza scoring chances zaid ya 4 kwenda Jwaneng watu wanakabia macho tutaachaje kupigwa!?
Uboreshaji ni muhimu mno ,Kocha apewe muda
wachezaji wazee sana ww kama kocha utamfundisha nn nyoni,onyango,kagereTabia za Mwalimu zinamchango mkubwa kwa mwanafunzi kufauru somo. Mwalimu ni kiungo katika kunogesha akili ya mwanafunzi. Mwalimu anaweza kuwa na digriii mia moja, lakini akikosa sifa moja muhimu ya kujuwa kuishi na kukabiliana na mazingira anayofanyia kazi na kusoma maisha na Tabia za mwanafunzi wake, si msaada tena.
Nachelea kusema hata mpira uliotufikisha katika nafasi tulizozipata ni zao la tabia zilizojengwa na waliotangulia.
Mwalimu mkali anaficha madhaifu yake ya kukosa umahili katika kufundisha. Silaha kubwa ya walimu Kama hawa ni kujenga hofu kwa mwanafunzi hali inayompelekea mwanafunzi kukosa confidence na hata kufeli.
Tujiulize Ziko wapi pass milioni zileee!
Wachezaji si walewale!
Leo wachezaji hawaonani, wanapapara, wanakitete hawana nguvu na majeruhi. Kulikoni?
Tutafakari vizuri kwa vile ni kipindi muhimu Cha kujenga au kubomowa timu. Tutaacha wachezaji wazuri kwa kufuata kinachoitwa ripoti ya mwalimu ambae mwenyewe ndio tatizo.
Ni ivyo tuuu.
Unatakiwa ukatae kwa hoja sio maneno matupu.Sikubaliani katika Hilo.
Hamna kitu humo...Biñafsi nakubali Sana kocha wa Azam Yule muethiopia sijui msomali yule
OkayHamna kitu humo...
Achana na huyo, hawezi kuipeleka Simba popote.Hana uzoefu na mashindano makubwa.Ni bora wamchukue kocha wa ASEC MEMOSAS aliifanya timu yake kuonyesha upinzani mkubwa kwenye kundi la Simba kwenye CAFCC, au wapambane wamng’oe Ibenge kutoka Berkane.Biñafsi nakubali Sana kocha wa Azam Yule muethiopia sijui msomali yule
Tuchangieni basi usajili ili msimu ukianza tuwe na TIMU tunayoihitaji.Hoja yako ni ya msingi kabisa. Lkn hoja inakosa support ya vielelezo vya ndani ya timu, kwamba Pablo ni tatizo hasa ktk nini, Ni nini anafanya, au Ni namna gani anaongoza benchi la fundi ktk hali ulizozitaja. Ni ushuhuda wa wachezaji wenyewe au Ni ushahidi gani ulio nao kutoka ndani ya kambi ya mazoezi ya timu.
Pili kwa mtazamo wangu , naona bado kocha alijitahidi kuifikisha timu hapo ilipo kwa aina ya wachezaji tulio nao. Labda kigezo na kipimo kiwe Ni kocha aliyeondoka yaani Didier Gomez da Rosa.
Technically unataka kusema angekuwepo Gomez timu ingekuwa na performance bora zaidi? Kwa hawa hawa Kagere, bocco na mugalu? Au akija kocha mwingine akapewa kikosi hiki hiki ataperform vzr zaidi? Pengine km siyo Pablo Simba ingeweza kutetea ubingwa?
Kwamba Kagere, Bocco, Mugalu hawafungi kwasababu ya ubovu wa kocha?
Binafsi sina tatizo na Pablo, Cha kufanya Simba ifanye usajili wa maana (wavunje benki),wafanye usajili wa kushindana na klabu kubwa km Berkane,Wydad,( labda tatizo liwe uchumi) Ikiwezekana wamrejeshe Gomez km kocha msaidizi , matola aondoke.
Tumesikia tetesi Simba inawahitaji Adebayor, Azizi Ki, Etouga mfungaji kinara wa Asante Kotoko, Zemanga Soze toka Mazembe, Moses Phiri, lkn inaonekana km Simba hawako siriaz, Sababu tunasikia Adebayor keshasaini Berkane. Hakuna kitu kibaya ktk usajili kama kuhitaji wachezaji fulani halafu ukawakosa, wachezaji ambao wana viwango halafu ukashindwa kuwasajili. Matokeo yake ni kufanya usajili ilimradi.
Wachezaji wa ligi za Afrika Mashariki,Burundi, Rwanda , Uganda, Kenya NK hawawezi kukupa matokeo hasa ktk mechi za kimataifa. Hawa ni wa viwango vya chini na kati, wengi hawana exposure kimataifa.
Tatizo la Simba ni aina ya wachezaji waliopo kwa sasa hasa hawa wa nje. Sidhani km ni kocha. Tunahitaji usajili mkubwa.
Zile buku7 za uwanja ziliishia wapi? Enewei mimi nitaongeza mia saba[emoji4]Tuchangieni basi usajili ili msimu ukianza tuwe na TIMU tunayoihitaji.
Mie naanza na jero.
Hongera yenu!Pambaneni wenyewe kwa wenyewe sisi kesho tena pale mwanza tuna tetema..
Umeongea kweli first eleven ya misimu iliyopita walikosekana chama na miquison tu na replacement ikafanyika,kwanini wasingepewa kipaombele,haiwezekani viwango vyote vya wachezaji wakali kama vishuke kwa pamojaAchana na Pablo mimi nina hasira na Matola, Matola yupo Simba kwa zaidi ya miaka minne lakini unaona kabisa mchango wake kama kocha msaidizi kwa timu ni sifuri.
Kocha mpaka ligi inaelekea ukingoni hana first eleven wakati Matola ilitakiwa awe msaada kumwambia kocha wachezaji wazuri wa kwenye timu! Matokeo yake kaua kiwango cha Lwanga, Bwalya, Kagere, Bocco na hata Chama ambaye amekuwa hapewi nafasi kabisa.
Ni muda sasa wakuachana na Matola huyo ndio mchawi wetu.