Tutawalaumu bure wachezaji Simba

Wengine wajuwaji Sana, hawapendi kushauriwa. Tutamlaum bure Matola.

Kwa saikolojia yangu ndogo, body language ya Matola inanionyesha hakubaliani na kocha Mkuuu.
Pablo anaonekana kabisa kiburi na jeuri. Wee muangalie tyuuh akiwa pembeni ya uwanja.
 
Matola atatoa ushauri gani kwa kocha anayepiga mateke hadi viti? Simba wakimbakiza huyu kocha nitajua hawana malengo makubwa ya timu kufanya vizuri.

Kocha ni takataka kabisa huyu. Kaua viwango vya wachezaji mshenzi mkubwa huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wahusika wachukue desa hili hapa.
 
Una jicho kama langu. Kocha wa Azam yupo vizuri. Nadhani aliye mtafuta ana maono kwelikweli. Tusubiri tuone zaidi.
Nashkur mkuu Kwa kuwa na jicho kama langu unajua mkuu tuna jicho tofauti Kwa kila mtu kulingana na anavyouona uwezo wa mwalimu ,tactics , jinsi anavyowatumia wachezaji etc ......
sasa kila mmoja na anavyoona .....ndo maana nkasema binafsi namuelewa sana Kwa makocha wa sasa hapa nchini wa kigeni ......Yule jamaa yupo vizuri Sana sema tu ndo ivyo.
 
Kwahiyo anakwamishwa na kipi mbona Azam haifanyi vizuri?
 
Kwahiyo anakwamishwa na kipi mbona Azam haifanyi vizuri?
wewe unaamini tatizo la Azam ni kocha ????
Unaamini hata akipelekwa pale prof Nabi or Gomez or uchebe .....Azam utafanya vizuri kama ilivyotazamiwa kuwa timu kubwa yenye kuleta ushindani etc???

Biñafsi siamini Sana huko japo it can be among the contributing factors but Kwa kidogo Sana Kwa sasa .....
 
Achana na Matola! huyo ni veteran wa Simba!! Asiguswe!!
 
Mchawi ni wakati!! Kila timu wakati fulani huwa inapitia wakati mgumu pamoja juhudi za kila namna kufanyika!! Dawa siyo kugombana bali ni kutuli, kusubiri na kutokukata tamaa!! Hali hii hutokea kwa timu kama timu na kwa mchezaji binafsi kama mchezaji!! Lakini utulivu ndio dawa na hatimaye wakati huu hupita na ukarejea tena wakati wa shangwe na kufanya vizuri!! Hakuna timu hata moja duniani ambayo haijawahi kupitia wakati mgumu ambapo kushinda huwa ni ngumu au kwa mbinde sana. Mfano: Ral Madri ilishapitia wakati huo ikawa haiwezi hata kuingia hatua ya mtoano euefa champions league!! AC milan ilishapitia na kwa sasa ndo inarudi!! Juventus inapitia kwa sasa, Man U nayo inapitia kwa sasa!. Kwa wachezaji Messi ndo anapitia kwa sasa!! Msimu mzima huko ufaransa ana magoli 6! Pamoja na kucheza vizuri lakini ni wakati uko kinyume naye!! Hata kwa Simba kwa sasa ni wakati ulio kinuyme!! Simba bado ni timu nzuri sana, inacheza vizuri na kocha yuko vizuri!! Ni vizuri kocha apewe muda wa kuanza na timu toka mwanzo wa musimu na wamsikilize maboresho anayotaka kuyafanya kwenye kikosi cha Simba!! Pablo bado ni bonge la kocha!!! Mtakuja kunishukuru mwisho wa msimu ujao!!
 
We ni mpumbavu,wazungu unawajua au unawasikia?
Unadhani hao ni kama shemeji zako uwapangie?
Anayetakiwa kuksumiwa ni Pablo na sijui kwa nini bado yupo
 
We ni mpumbavu,wazungu unawajua au unawasikia?
Unadhani hao ni kama shemeji zako uwapangie?
Anayetakiwa kuksumiwa ni Pablo na sijui kwa nini bado yupo
Kuna sehemu umeona nimetumia neno la kukera kama wewe ulivyoanza? Unafikiri kuniita mpumbavu itakupunguzia ukali wa maisha? Hongera mwerevu wa kizungu.
 
Watu kama nyie ndio mnawapa vichwa viongozi.

Huyu kocha hafai kabisa.Ninatamani atimuliwe hata kipindi hiki cha half time.
 
Huyu kocha timu yake inacheza kwa falsafa ipi au kikubwa wachezaji wanapiga mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…