Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Kuna tetesi huko korido za Lumumba….Uzi huu ni kwa wale waona mbali tu. Wale waliibarikiwa kipawa na Mwenyezi Mungu cha kuweza kuona yajayo.
Kwa upepo unavyoenda, ni matukio gani makubwa unahisi yanaweza kutokea kuanzia sasa mpaka hapo Oktoba?
Cc: Tumia akili
We jamaa una undugu na lucifer sio bure.1. CHADEMA kupigwa stop wasijihusishe na kutembea mikoani kufanya mikutano kwa kigezo watakachoita uchochezi(kuwafanya raia wasijihusishe na uchaguzi)
2. Watakaoimba "No REFORMS NO ELECTION" serikali itatoa onyo Kali la kuwashughulikia.
3. Polisi watatumia nguvu kubwa sana kuliko chaguzi zote na Wanamwaga damu nyingi kwenye huu uchaguzi.
4. Chauma itakata pumzi na itapoteana.
5. Kanisa katoliki litajipambanua kuwa linaunga mkono mabadiliko ya uchaguzi. Litasema sauti nyingi zinazosema no reforms no election zisipuuzwe. Kwa lugha rahisi litasimama pamoja na wanaopigania haki ya dhidi ya udhalimu.
6. Gwajima atakumbana na misukosuko maana ataliamsha dude dhidi ya upande aliokuwepo. Baadae Atakimbia nchi.
7. Kuna kiongozi mkubwa upande wa kijani ata r.i.p kabla ya uchaguzi. Italeta hisia mseto.
Tuendelee kujifukiza,mkuu.We jamaa una undugu na lucifer sio bure.
Kula nyama nyamaza, makelele mwachie mbwa🤐🤐🤐🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tuendelee kujifukiza,mkuu.
"Ikiwa haya wanayafanya kwa mti mbichi,vipi kwa mti mkavu?"
Hili litimie7. Kuna kiongozi mkubwa upande wa kijani ata r.i.p kabla ya uchaguzi. Italeta hisia mseto.
🔊 JobHili litimie