Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Sabaya ni binadamu kama walivyo wengine

Yaan bado mnataka aendelee kutengwa licha ya kutumikia adhabu zake?
Tatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
 
Umekosa nini, kutoka nyumbani kwako, ofisini, ama kwenye biashara yako[emoji848][emoji848]
Tatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
Ameumiza akina nani hao!?

Amua wazazi wako!?

Wewe ndio ulipaswa uwe jela kwa kusambaza taarifa za Uongo.

Mahakama imeshatoa amri.
 
Tatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
Mkuu, acha wivu, fanya yako
 
Tatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
System ya nchi hii ndiyo iliyomfutia mbowe Kesi ya ugaidi!
Pamoja na mahakama kujilidhisha pasipo shaka kuwa mbowe alikuwa na kesi ya kujibu lakini SYSYEM ikamfutia kesi na akaenda ikulu moja kwa moja siku hiyo kutoa shukran. Na hilo ulikuwa hujui?
 
Nani amesema kutengwa? Watu wanaulizia usafi wake kwenye uongozi. Kusema mtu hafai kwenye uongozi siyo kumtenga. Huyu jamaa ni jambazi na kuna siku atalipia madhambi yake. BTW picha ni kama ya zamani wakati akiwa kwenye kilele cha ujambazi.
Acha wivu, fanya yako
 
System ya nchi hii ndiyo iliyomfutia mbowe Kesi ya ugaidi!
Pamoja na mahakama kujilidhisha pasipo shaka kuwa mbowe alikuwa na kesi ya kujibu lakini SYSYEM ikamfutia kesi na akaenda ikulu moja kwa moja siku hiyo kutoa shukran. Na hilo ulikuwa hujui?
Hawawezi kulijua hilo..
Wanawaza jambo la Sabaya tu ambaye yeye kashinda mahakamani wala hajafutiwa kwa huruma ya mtu.

Nchi hii ina wajinga wengi sana.
 
Hapa ni jambo la kawaida kabisa kama picha ni ya kweli hakuna ubaya sabaya ni binadamu kama binadamu wengine anahaki ya kukutana na viongozi masaibu yake yameisha yupo huru tusijitie Mungu watu kwenye kuhukumu Mwacheni kijana awe na hata serikali ya Awamu ya sita ikiwapendeza wape nafasi tuone mana naona bado anauwezo
 
Waziri mkuu anaongea na jambazi comfortably kabisa. Tumepigwa
Hakuna acha mawazo potofu ni jambo la kawaida sana tukianza kunyoosheana vidole kwa kila mtuhumiwa basi tutakimbiana hapa yeye alituhumiwa mahakama imeamuwa ukweli hivyo na istoshe ni raia wetu na PM ni wawatanzania wote hivyo hakuna ubaya
 
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Mkuu fazili , Lengai Ole Sabaya was acquitted!, hivyo ni raia safi na 2025 anaweza kugombea Hai, au Arusha.
Mlingaishe Sabaya na yule mtuhumiwa aliyekutwa na prima facie ya kesi ya ugaidi lakini DPP akamtoa kwa Nolle!.
P
 
Haya machadema upumbavu wao huwa haujifichi kabisa yamejaa chuki za kushetani, mbona mbowe ni gaidi lkn baado ccm na wana ccm wanamheshimu!?.
Umeongea vizuri Chadema people hawataki vijana wa CCM wenye uwezo yaani wanawapinga sana sababu hawataki kuzidiwa kateuliwa Makonda wameumia sana sasa hofu yao akija sabaya itakuwaje
 
Back
Top Bottom