juctn Mt
Member
- Jan 12, 2019
- 38
- 37
Hata ukoo wako wote nao ni majambazi kama ulivyo wewemimi huwa siachi kusema... kuwa nchi yetu inaongozwa na MAJAMBAZI.... [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukoo wako wote nao ni majambazi kama ulivyo wewemimi huwa siachi kusema... kuwa nchi yetu inaongozwa na MAJAMBAZI.... [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
We si ulikuwa mmoja wa watoa ushahidi!!?.Chama cha mboga mboga wote ni wale wale tuu hakuna mwenye afadhali, yani kiongozi mkubwa anakaa na jambazi sugu tena muuaji kabisa wanapiga soga na kufurahia kabisa
Tatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.Sabaya ni binadamu kama walivyo wengine
Yaan bado mnataka aendelee kutengwa licha ya kutumikia adhabu zake?
Umekosa nini, kutoka nyumbani kwako, ofisini, ama kwenye biashara yako[emoji848][emoji848]
Ameumiza akina nani hao!?Tatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
Chuzi za kijinga sana hizi.Jambazi sugu na mpiga deal mkuu
Ndege wafananao kumbe.Kwani huyo Diblo mnamuonaje? Yeye aliteka mpinzani ili apite bila kupingwa.
Mkuu, acha wivu, fanya yakoTatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
System ya nchi hii ndiyo iliyomfutia mbowe Kesi ya ugaidi!Tatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
Acha wivu, fanya yakoNani amesema kutengwa? Watu wanaulizia usafi wake kwenye uongozi. Kusema mtu hafai kwenye uongozi siyo kumtenga. Huyu jamaa ni jambazi na kuna siku atalipia madhambi yake. BTW picha ni kama ya zamani wakati akiwa kwenye kilele cha ujambazi.
Hawawezi kulijua hilo..System ya nchi hii ndiyo iliyomfutia mbowe Kesi ya ugaidi!
Pamoja na mahakama kujilidhisha pasipo shaka kuwa mbowe alikuwa na kesi ya kujibu lakini SYSYEM ikamfutia kesi na akaenda ikulu moja kwa moja siku hiyo kutoa shukran. Na hilo ulikuwa hujui?
Mda mwingine jifunze kuficha ujinga wako mbele ya watu.Kwani huyo Diblo mnamuonaje? Yeye aliteka mpinzani ili apite bila kupingwa.
Hakuna acha mawazo potofu ni jambo la kawaida sana tukianza kunyoosheana vidole kwa kila mtuhumiwa basi tutakimbiana hapa yeye alituhumiwa mahakama imeamuwa ukweli hivyo na istoshe ni raia wetu na PM ni wawatanzania wote hivyo hakuna ubayaWaziri mkuu anaongea na jambazi comfortably kabisa. Tumepigwa
Mkuu fazili , Lengai Ole Sabaya was acquitted!, hivyo ni raia safi na 2025 anaweza kugombea Hai, au Arusha.Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Hii ni Bongo mindset per se... Kuwa, ukikosoa basi ni wivu...Acha wivu, fanya yako
Umeongea vizuri Chadema people hawataki vijana wa CCM wenye uwezo yaani wanawapinga sana sababu hawataki kuzidiwa kateuliwa Makonda wameumia sana sasa hofu yao akija sabaya itakuwajeHaya machadema upumbavu wao huwa haujifichi kabisa yamejaa chuki za kushetani, mbona mbowe ni gaidi lkn baado ccm na wana ccm wanamheshimu!?.