juctn Mt
Member
- Jan 12, 2019
- 38
- 37
Dhamira yako ni ipi inayoishi!?.Majizi ya kura hayaogopi tena kufanya upvu wowote ule,dhamira zao zilishakufa siku nyingi.
Nchi hii ni yetu sote acheni wivu na ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhamira yako ni ipi inayoishi!?.Majizi ya kura hayaogopi tena kufanya upvu wowote ule,dhamira zao zilishakufa siku nyingi.
Kwani hamuviamini vyombo vya sheria?.Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Tukio gani la ujambazi alilokufanyia wewe na familia yako .!!??.Serikali imejaa vinara wa wizi. Hivyo si jambo la ajabu, wevi kuwa na mazungumzo. Pesaalizokuwa anapora Sabaya, usidhani zilikuwa zinaishia kwenye mijono ya Sabaya pekee. Ndiyo maana Sabaya alisema kuwa ujambazi aliokuwa anafanya ulikuwa unafahamika kwa wakuu wake wa kazi. Hiyo kauli ndiyo iliyomponza.
CCM ni syndicate ya wizi na uchafu wa kila aina. Wanatofautiana kwa viwango tu.
Sio wote walio jela wana hatia..Vyombo vya sheria havijamkuta na hatia nyie ni nani hadi muwe juu ya sheria? Hana makosa na mahakama imeprove. Acheni ushamba.
Linawezekana kabisa..Tanzania unaweza shtakiwa kwa uhalifu,ubakaji na ukaja kutawala au kuongoza
Ova
Hiyo ndo ccm... Wapinzani kaeni chonjoKama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Wajinga ni wale majizi ya kura yasiyoheshimu matakwa ya wapiga kuraDhamira yako ni ipi inayoishi!?.
Nchi hii ni yetu sote acheni wivu na ujinga.
Binafsi ni mwana ccm, lakini hili limeniogopesha kabisa kabisa, "NINA MASHAKA, KASIMU MAJALIWA ANAWEZA KUWA RAIS, DOTO BITEKO WAZIRI MKUU, MAKAMU WA RAIS AKATOKA ZANZIBAR, NA RAIS SAMIA AKAFUPISHA KIPINDI CHAKE CHA PILI"Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Hata ukoo wako wote nao ni majambazi kama ulivyo wewe
Binafsi ni mwana ccm, lakini hili limeniogopesha kabisa kabisa, "NINA MASHAKA, KASIMU MAJALIWA ANAWEZA KUWA RAIS, DOTO BITEKO WAZIRI MKUU, MAKAMU WA RAIS AKATOKA ZANZIBAR, NA RAIS SAMIA AKAFUPISHA KIPINDI CHAKE CHA PILI"
----(Tuyaweke kama prediction) - - - -
Noted mkuuSerikali imejaa vinara wa wizi. Hivyo si jambo la ajabu, wevi kuwa na mazungumzo. Pesaalizokuwa anapora Sabaya, usidhani zilikuwa zinaishia kwenye mijono ya Sabaya pekee. Ndiyo maana Sabaya alisema kuwa ujambazi aliokuwa anafanya ulikuwa unafahamika kwa wakuu wake wa kazi. Hiyo kauli ndiyo iliyomponza.
CCM ni syndicate ya wizi na uchafu wa kila aina. Wanatofautiana kwa viwango tu.
wachaga wabinafsi Sana hawampondi Mbowe ambaye ndiye Gaidi na Jambazi mkubwaNani amesema kutengwa? Watu wanaulizia usafi wake kwenye uongozi. Kusema mtu hafai kwenye uongozi siyo kumtenga. Huyu jamaa ni jambazi na kuna siku atalipia madhambi yake. BTW picha ni kama ya zamani wakati akiwa kwenye kilele cha ujambazi.
Nyie wachaga enzi za wizi wenu zimeisha nawaambia zimeisha kabisa Mkoa wa Arusha ni wa Wamasai waacheni wa Masai nao wampende mtu wao na nyie shabikieni gaidi lenu MboweTatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
Uzuri walidhulumiwa wapo malipo hapa hapa dunianiiii
Nyie wachaga enzi za wizi wenu zimeisha nawaambia zimeisha kabisa Mkoa wa Arusha ni wa Wamasai waacheni wa Masai nao wampende mtu wao na nyie shabikieni gaidi lenu Mboweexpand...
Sabaya ni jambazi kama walivyo majambazi wengine.Sabaya ni binadamu kama walivyo wengine
Yaan bado mnataka aendelee kutengwa licha ya kutumikia adhabu zake?