Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

Serikali imejaa vinara wa wizi. Hivyo si jambo la ajabu, wevi kuwa na mazungumzo. Pesaalizokuwa anapora Sabaya, usidhani zilikuwa zinaishia kwenye mijono ya Sabaya pekee. Ndiyo maana Sabaya alisema kuwa ujambazi aliokuwa anafanya ulikuwa unafahamika kwa wakuu wake wa kazi. Hiyo kauli ndiyo iliyomponza.

CCM ni syndicate ya wizi na uchafu wa kila aina. Wanatofautiana kwa viwango tu.
Tukio gani la ujambazi alilokufanyia wewe na familia yako .!!??.

Kama ulikwepa kodi kukushughulikia ni ujambazi!?

Unauza bidhaa kwa magendo.. Kukushughulikia ni ujambazi!?.
 
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!View attachment 2837218
Binafsi ni mwana ccm, lakini hili limeniogopesha kabisa kabisa, "NINA MASHAKA, KASIMU MAJALIWA ANAWEZA KUWA RAIS, DOTO BITEKO WAZIRI MKUU, MAKAMU WA RAIS AKATOKA ZANZIBAR, NA RAIS SAMIA AKAFUPISHA KIPINDI CHAKE CHA PILI"
----(Tuyaweke kama prediction) - - - -
 
Hata ukoo wako wote nao ni majambazi kama ulivyo wewe
hujakosea... huu ni ukoo wa panya... mjukuu jambazi...babu jambazi...bibi jambazi watoto majambazi na mimi pia nikipata nafasi nakua jambazi tuu....!​
 
Binafsi ni mwana ccm, lakini hili limeniogopesha kabisa kabisa, "NINA MASHAKA, KASIMU MAJALIWA ANAWEZA KUWA RAIS, DOTO BITEKO WAZIRI MKUU, MAKAMU WA RAIS AKATOKA ZANZIBAR, NA RAIS SAMIA AKAFUPISHA KIPINDI CHAKE CHA PILI"
----(Tuyaweke kama prediction) - - - -
hapana wataenda na mwinyi...labda kama mwinyi watamchukua kusiko julikana...kwenye nchi yetu waziri mkuu alie wahi kuwa Rais ni mzee Nyerere pekee yake...hivyo possibility ya Majaliwa kuwa Rais ni ndogo sana.

si unajua kilicho mpata Lowasa...?​
 
Nina Maswali Matatu:-
  • Kisheria au hata kibinadamu (sio kisiasa ni watu gani) Binadamu au kwa muktadha huu PM haruhusiwi kukutana nao
  • Ni Taasisi gani zinaweza kusema fulani ni muhalifu (Kisheria) na kama PM anaongozwa na Sheria je ana Haki ya kutokutana na mtu sababu ya Shutuma)?
  • Je unakubaliana na msemo kwamba ni Heri Waharifu Kumi wasishitakiwe kuliko Mmoja asiye na kosa Kuhukumiwa ?
Nadhani hapa kama kuna jambo halipo sawa ni kulaumu Taasisi zetu na kutokuwepo kwa Haki na sio PM kukutana na mtu...
 
Moja ya mambo ya Msingi ambayo serikali na Watanzania wengi ikiwemo mm Calvin, ni matamanio yangu kuona serikali inamrejesha comrade Lengai Ole Sabaya kwenye system. Ni miongoni mwa karata ya ushindi mnono wa uchaguzi Mkuu wa Serikali za mitaa, Mkuu na kuihakikishia CCM inashinda Kwa kishindo. Lakini pia ni miongoni mwa viongozi ambao wanatumia akili kubwa katika kuwa karibu na wananchi. Jambo ambalo linaweza kumsaidia Rais wetu Samia na serikali pamoja na Chama.

Mama Samia Tuletee Sabaya.
 
Serikali imejaa vinara wa wizi. Hivyo si jambo la ajabu, wevi kuwa na mazungumzo. Pesaalizokuwa anapora Sabaya, usidhani zilikuwa zinaishia kwenye mijono ya Sabaya pekee. Ndiyo maana Sabaya alisema kuwa ujambazi aliokuwa anafanya ulikuwa unafahamika kwa wakuu wake wa kazi. Hiyo kauli ndiyo iliyomponza.

CCM ni syndicate ya wizi na uchafu wa kila aina. Wanatofautiana kwa viwango tu.
Noted mkuu
 
Nani amesema kutengwa? Watu wanaulizia usafi wake kwenye uongozi. Kusema mtu hafai kwenye uongozi siyo kumtenga. Huyu jamaa ni jambazi na kuna siku atalipia madhambi yake. BTW picha ni kama ya zamani wakati akiwa kwenye kilele cha ujambazi.
wachaga wabinafsi Sana hawampondi Mbowe ambaye ndiye Gaidi na Jambazi mkubwa
 
Jambo la Kutegemea ni Sabaya kurejeshwa Kwenye Majukumu ya Kuwatumikia Watanzania baada ya Mahakama ya Rufani kuweka Wazi kuwa Sabaya hakuwa na Hatia.
 
Tatizo siyo ubinadamu, tatizo ni huyo Sabaya ameumiza watu na kuua wengine. na hakupaswa awe nje ya jela ila kwa sababu system ya nchi hii ni corrupt yupo nje. Hata kama mahakama imemtoa kwa kukosa ushahidi. Huyo Sabaya anajulikana alichofanya.
Nyie wachaga enzi za wizi wenu zimeisha nawaambia zimeisha kabisa Mkoa wa Arusha ni wa Wamasai waacheni wa Masai nao wampende mtu wao na nyie shabikieni gaidi lenu Mbowe
 
Back
Top Bottom