Tutemegee kuona maghorofa zaidi yakijengwa, kuna wanasiasa waliofukuzwa uwaziri watafilisika muda si mrefu

Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile

Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Hapo kuna mawili mkuu either kupunguza money supply ili hela iwe na thamani au kuongeza money supply ili hela izidi kukosa thamani.
 
Hakuna Bank ya namna hiyo huko nje!

Kazi yao kubwa ni kulinda interest na Siri za mteja sio vinginevyo.
 
Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile

Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Kaka unajidanganya tu, wenzako hawatumii au kuweka benki hizo pesa zetu za madafu, wenzako wanatamba na USD$, hizo pesa za madafu ni za mboga na kuwanunulia nyama choma wajumbe,kwa hiyo hawaathiriki kwa lolote,pia wenzako wana akauti zao ughaibuni, tena akaunti za USD$.
 
Ujio wa noti na sarafu mpya
Hakuna Noti Mpya wala Sarafu bali wenye Noti na Sarafu za zamani wamepewa opportunity ya kubadilisha hizo pesa ili wazitumie
ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile

Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Jibu la hapo juu limefanya point zako zote zinazofuata kuwa void ab initio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…