Tutemegee kuona maghorofa zaidi yakijengwa, kuna wanasiasa waliofukuzwa uwaziri watafilisika muda si mrefu

Tutemegee kuona maghorofa zaidi yakijengwa, kuna wanasiasa waliofukuzwa uwaziri watafilisika muda si mrefu

Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile

Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Hapo kuna mawili mkuu either kupunguza money supply ili hela iwe na thamani au kuongeza money supply ili hela izidi kukosa thamani.
 
Hakuna mwizi mwenye hela nyingi anakaa ndani na Tsh, hizo hela zinazopigwa nyingi ziko kwenye USD, EURO na PAUNDI.
Masoko ya hisa duniani huko watu wameshaweka hela kitambo, nyingine ziko swiss banks nk.

Bado hatujui tu kwanini USD iliadimika/imeadimika mitaani?

Zipo biashara nyingi tayari mitaani zinarun lakini undercover kuna wahuni wanasafisha hela zao na kuzitoa nje.

Njia pekee na serious ya kudeal na wezi ni kudili nao live live bila kificho usiku na mchana.
Serikali itangaze crack down kwenye mabank yote ya nje juu ya hela za wanasiasa wa Tanzania, hizo account ziwe seizures mpaka maelezo ya kutosha ya upatikanaji wa hizo hela yatolewe na mhusika kwa GOT.
Hakuna Bank ya namna hiyo huko nje!

Kazi yao kubwa ni kulinda interest na Siri za mteja sio vinginevyo.
 
Ujio wa noti na sarafu mpya ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile

Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Kaka unajidanganya tu, wenzako hawatumii au kuweka benki hizo pesa zetu za madafu, wenzako wanatamba na USD$, hizo pesa za madafu ni za mboga na kuwanunulia nyama choma wajumbe,kwa hiyo hawaathiriki kwa lolote,pia wenzako wana akauti zao ughaibuni, tena akaunti za USD$.
 
Ujio wa noti na sarafu mpya
Hakuna Noti Mpya wala Sarafu bali wenye Noti na Sarafu za zamani wamepewa opportunity ya kubadilisha hizo pesa ili wazitumie
ni mbinu laini ya kupambana na ufisadi bila
lawama yoyote ile

Nampongeza Rais Samia kwa kuamua kuzirudisha kijanja hela za aliowaruhusu wale kwa urefu wa kamba zao
Jibu la hapo juu limefanya point zako zote zinazofuata kuwa void ab initio...
 
Back
Top Bottom