Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

Ni kijana aliyepambana kufika hapo alipo na ameleta ajira kwa wenzake kuanzia level za juu mpaka level za hawa wanaoitwa chawa.

Serikali inamtambua, taifa tunamjua ila HANA HADHI YA KUPEWA SIKU YA KITAIFA KAMA NYERERE, KARUME.

Alichofanya kufikia sasa ni kidhaifu sana mbele ya wenye hadhi hizo. Apambane kulitumikia taifa na huenda akafanya jambo la kipekee na ndoto yako ikatimia. Ila kwa sasa HIYO HADHI HANA WALA HAJAIKARIBIA. STILL NI KIJANA MUHIMU KATIKA TAIFA LETU.
 
Kwa ujinga huu ,Mwigulu endelea kupiga TOZO akili za wanaume wa Tanzania zikae sawa kufikiria viwanza na uzalishqji na sio sikukuu za wanamuziki.Duuu tuko mbali
 
Alafu bado tuna ilaumu serikali kwa umaskini wa wananchi 🤔🤔🤔🤔🤔🚶🚶🚶🚶
 
Ndio mkuu

Mfano Jux alikuwa anamkubali sana Trey Songz,zikazuka tetesi mixer videos za Vanessa mdee kwamba kamkula kimasihara

Jux haku-mind wala nini
Afu kweli. Baadae akaja sema hamkubali daah. Na wajuba wakamchukua vanessa mazima
 
Diamond Platnumz aka Simba ameharibu maadili yepi?
Kukalisha mabinti uchi hujalijua.? Vijana kulalana kama hawana kesho tena. Ni hivi nyimbo za kidunia nyingi ni chanzo cha kuvunjika kwa maadili zile video za bikini unaweza angalia na mamako .?
 
Mkuu si bora ungeshauri diamond afungue hata kiwanda aisaidie serikali kuajiri wimbi la vijana waliotoka vyuoni
 
W
Tanzania haiwezi kupata tena msanii kama Diamond Platnumz inatakiwa tumlinde kwa wivu mkubwa. Wangempata wakenya huyu sasa hivi mngekuwa wanyonge mno na wangembrand haswa
Walikuepo kina mr nice tunao kija lady jay dee ni wakali, kina prof jay ni balaa wameimba ngoma zenye kudumu vizazi na vizazi sio hizo BIG G zake. Kuna wasanii wakali tu ila hawana fyongo na watakuja wakali zaidi yake mara nyingi zaidi. Ni muda tu
 
Mtoa mada anadhani Diamond anajulikana na kila mtu Ebu nenda huko Singida vijijini kbsa uone Kama kuna mtu anamfahamu hyo Diamond
 
Hakuna kiumbe hai asiyemfahamu Diamond Platnumz ukanda huu wa kusini mwa jangwa la sahara...Hiyo ni research
 
View attachment 2374522

Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.

Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.

Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu baba wa sanaa ya burudani Tanzania ambaye amefanya mambo makubwa tangu uwepo wa taifa ili la Tanzania.

Tukiamua inawezekana, kama tuna Nyerere day na Karume day hatushindwi kumpa hii heshima gwiji huyu hodari kabisa kuwai kutokea.

Mungu mbariki Diamond Platnumz, Mungu ibariki Tanzania.

Happy birthday Simba 🦁
Mondi ndio Tanzania na Tanzania ni mondi full respect katupaisha sana kama taifa
 
Vilevile naiomba serikali tuwe na Le Mutuz day
 
View attachment 2374522

Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.

Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.

Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu baba wa sanaa ya burudani Tanzania ambaye amefanya mambo makubwa tangu uwepo wa taifa ili la Tanzania.

Tukiamua inawezekana, kama tuna Nyerere day na Karume day hatushindwi kumpa hii heshima gwiji huyu hodari kabisa kuwai kutokea.

Mungu mbariki Diamond Platnumz, Mungu ibariki Tanzania.

Happy birthday Simba 🦁
Acha tozo ziongezwe tuu
 
Acha upuuzi
 
Back
Top Bottom