Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

Hizo nyimbo za kuhamasisha ngono ndo mnataka apewe holiday so funny!!!
 
View attachment 2374522

Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.

Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.

Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu baba wa sanaa ya burudani Tanzania ambaye amefanya mambo makubwa tangu uwepo wa taifa ili la Tanzania.

Tukiamua inawezekana, kama tuna Nyerere day na Karume day hatushindwi kumpa hii heshima gwiji huyu hodari kabisa kuwai kutokea.

Mungu mbariki Diamond Platnumz, Mungu ibariki Tanzania.

Happy birthday Simba [emoji881]
We ni mwehu kweli wewe, umezaliwa mwaka 1999? Au 2000?

Nyimbo za zamani zenye jumbe za kugusa zinaishi mpaka leo na watu wake hawana day yao kitaifa ije iwe huyu mwehu anayeimba matusi muda wote? Yaani nyie watoto wa sasa hivi shenzi kabisa
 
Freemason hatunaga hizo siku za kumbukizi
 
Nchi kila kitu ni ubongo fleva mitamasha ndy kipaumbele

Ova
 
Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.

Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu baba wa sanaa ya burudani Tanzania ambaye amefanya mambo makubwa tangu uwepo wa taifa ili la Tanzania.
Wenye akili wanamzungumzia Hayati Marijan Rajaab Jabali la Muziki nchini,
 
View attachment 2374522

Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.

Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.

Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu baba wa sanaa ya burudani Tanzania ambaye amefanya mambo makubwa tangu uwepo wa taifa ili la Tanzania.

Tukiamua inawezekana, kama tuna Nyerere day na Karume day hatushindwi kumpa hii heshima gwiji huyu hodari kabisa kuwai kutokea.

Mungu mbariki Diamond Platnumz, Mungu ibariki Tanzania.

Happy birthday Simba [emoji881]
Mtu mweusi hakika ni nyani
 
Hali humtokea mwanamke anaeridhkshwa na bwana ake kwa Kila kitu,, endelea kujifaragua wakuibie ndipo akili ikukae, usiseme haujaambiwa
 
Wasomi wengi ndo hawataki kuskia hii kitu[emoji3][emoji3]Wanaona mwana hajasoma kama wao,alafu anakimbiza kinoma[emoji3],,he is genius,,he changed the game,,tumpe tu hiyo 2 October [emoji23]
 
View attachment 2374522

Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.

Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.

Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu baba wa sanaa ya burudani Tanzania ambaye amefanya mambo makubwa tangu uwepo wa taifa ili la Tanzania.

Tukiamua inawezekana, kama tuna Nyerere day na Karume day hatushindwi kumpa hii heshima gwiji huyu hodari kabisa kuwai kutokea.

Mungu mbariki Diamond Platnumz, Mungu ibariki Tanzania.

Happy birthday Simba 🦁
Naona unakoelekea sasa, utakuwa kunguni badala ya chawa! Yaani unachukulia Watanzania wote kama vile tuna akili ndogo kama ya kwako.
 
W

Walikuepo kina mr nice tunao kija lady jay dee ni wakali, kina prof jay ni balaa wameimba ngoma zenye kudumu vizazi na vizazi sio hizo BIG G zake. Kuna wasanii wakali tu ila hawana fyongo na watakuja wakali zaidi yake mara nyingi zaidi. Ni muda tu
Pamoja na kwamba sikubaliani na hilo wazo la Diamond day ila hao uliowataja hawakuleta impact wala mapinduzi kwenye tasnia ya burudani kama Diamond Platinumz, hata wakijichanganya kwa pamoja hawafiki hata robo ya impact ya Diamond.
Diamond ameugeuza muziki kuwa biashara kubwa, ameajiri vijana wengi na kubadili maisha yao kupitia muziki wake. Sasa hivi ukitaja top 5 countries in Africa chini ya jangwa la Sahara katika tasnia ya muziki it's very likely Tanzania kuwemo kwenye orodha lakini artist wa kimataifa anayepambana kwenye top level ni mmoja tu na kabla yake hatukuwahi kuwa na artist wa caliber hiyo.
All in all wazo la Diamond day ni upuuzi uliopitiliza.
 
Ni hivi. Nyumba inaanzia msingi. Wape heshima yao malegendary wale bila wao huyo asingepata kuujua mziki. Kupitia mafanio machache na makosa machache ya watangulizi ndipo akaibuka mondi hivyo pafikirie hapo.
Pamoja na kwamba sikubaliani na hilo wazo la Diamond day ila hao uliowataja hawakuleta impact wala mapinduzi kwenye tasnia ya burudani kama Diamond Platinumz, hata wakijichanganya kwa pamoja hawafiki hata robo ya impact ya Diamond.
Diamond ameugeuza muziki kuwa biashara kubwa, ameajiri vijana wengi na kubadili maisha yao kupitia muziki wake. Sasa hivi ukitaja top 5 countries in Africa chini ya jangwa la Sahara katika tasnia ya muziki it's very likely Tanzania kuwemo kwenye orodha lakini artist wa kimataifa anayepambana kwenye top level ni mmoja tu na kabla yake hatukuwahi kuwa na artist wa caliber hiyo.
All in all wazo la Diamond day ni upuuzi uliopitiliza.
 
View attachment 2374522

Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.

Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.

Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu baba wa sanaa ya burudani Tanzania ambaye amefanya mambo makubwa tangu uwepo wa taifa ili la Tanzania.

Tukiamua inawezekana, kama tuna Nyerere day na Karume day hatushindwi kumpa huhuni miuuii heshima gwiji huyu hodari kabisa kuwai kutokea.

Mungu mbariki Diamond Platnumz, Mungu ibariki Tanzania.

Happy birthday Simba 🦁
Acha uhuni mkuu....
 
Ni hivi. Nyumba inaanzia msingi. Wape heshima yao malegendary wale bila wao huyo asingepata kuujua mziki. Kupitia mafanio machache na makosa machache ya watangulizi ndipo akaibuka mondi hivyo pafikirie hapo.
Issue ni impact waliyoiacha/waliyoiweka kwenye ramani ya muziki, anything tangible kinachoonekana bila ya blah blahs.
Secondly wao si waanzilishi, nao ni muendelezo tu wa waliyayakuta hivyo kama credits unatakuwapa waanzilishi hao watoe kabisa.
Ukweli ni kuwa mageuzi aliyoyafanya Diamond Platinumz(single handedly with the hierarchy in the industry against him) anastahili sifa zaidi ya wote.
NB: Wazo la Diamond day ni upuuzi.
 
Unampa mond credit afu una mnyima jide credit una akili kweli.? Kati ya prof jay na mond alieupa huu mziki hadhi ya kuwa kama kazi mwanzo kabsa nani.?

We ndiyo hauna akili, eleza alichofanya Jide kwa industry zaidi ya manufaa yake binafsi, japo namkubali sana Prof J lakini he is just a local artist(kwenye zone ya East Africa tu).
Kama we ni dogo wa juzi labda, lakini hii industry from the scratches(I mean Bongo Flavor) enzi za akina Adili,KBC and the likes mpaka leo hakuna aliyeipaisha industry locally and internationally kama Diamond.
 
Back
Top Bottom