Afu kweli. Baadae akaja sema hamkubali daah. Na wajuba wakamchukua vanessa mazimaNdio mkuu
Mfano Jux alikuwa anamkubali sana Trey Songz,zikazuka tetesi mixer videos za Vanessa mdee kwamba kamkula kimasihara
Jux haku-mind wala nini
Kukalisha mabinti uchi hujalijua.? Vijana kulalana kama hawana kesho tena. Ni hivi nyimbo za kidunia nyingi ni chanzo cha kuvunjika kwa maadili zile video za bikini unaweza angalia na mamako .?Diamond Platnumz aka Simba ameharibu maadili yepi?
Walikuepo kina mr nice tunao kija lady jay dee ni wakali, kina prof jay ni balaa wameimba ngoma zenye kudumu vizazi na vizazi sio hizo BIG G zake. Kuna wasanii wakali tu ila hawana fyongo na watakuja wakali zaidi yake mara nyingi zaidi. Ni muda tuTanzania haiwezi kupata tena msanii kama Diamond Platnumz inatakiwa tumlinde kwa wivu mkubwa. Wangempata wakenya huyu sasa hivi mngekuwa wanyonge mno na wangembrand haswa
Hivi yule noel ndy dizaina wakeDiamond Platnumz aka Simba ameharibu maadili yepi?
Hakuna kiumbe hai asiyemfahamu Diamond Platnumz ukanda huu wa kusini mwa jangwa la sahara...Hiyo ni researchMtoa mada anadhani Diamond anajulikana na kila mtu Ebu nenda huko Singida vijijini kbsa uone Kama kuna mtu anamfahamu hyo Diamond
Mondi ndio Tanzania na Tanzania ni mondi full respect katupaisha sana kama taifaView attachment 2374522
Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.
Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.
Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu baba wa sanaa ya burudani Tanzania ambaye amefanya mambo makubwa tangu uwepo wa taifa ili la Tanzania.
Tukiamua inawezekana, kama tuna Nyerere day na Karume day hatushindwi kumpa hii heshima gwiji huyu hodari kabisa kuwai kutokea.
Mungu mbariki Diamond Platnumz, Mungu ibariki Tanzania.
Happy birthday Simba 🦁
Acha tozo ziongezwe tuuView attachment 2374522

Acha upuuziView attachment 2374522