Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

Kati ya prof jay na mond alieupa huu mziki hadhi ya kuwa kama kazi mwanzo kabsa nani.?
Neither of them. Mr Two ndiye mtu wa kwanza kabisa kuubadilisha mziki wa Tanzania na kuwa kazi. Prof J ndiye aliyefuata na zaidi ya hapo aliuheshimisha.
 
Tumekusikia mke wa domo. Tunalifanyia kazi wazo lako
 
Usisahau kuwa wewe ni mwanaume. Ukiendelea hv utafumuliwa
 
W

Walikuepo kina mr nice tunao kija lady jay dee ni wakali, kina prof jay ni balaa wameimba ngoma zenye kudumu vizazi na vizazi sio hizo BIG G zake. Kuna wasanii wakali tu ila hawana fyongo na watakuja wakali zaidi yake mara nyingi zaidi. Ni muda tu
Nafikiri muda umewadia, Jamaa kabaki mitandaoni tu sio stejini.
 
Hii strategy ya kuwa na chawa wanaompamba mitandaoni sidhani km itamrudisha kwenye game.
Muda unaanza kumuacha sema alisha jiweka sawa kiuchumi so anakuwa mfanya biashara na kama vipaji vingi anaweza geukia upande mwingine hata uigizaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…