Tuungane kupiga vita madawa ya kulevya! Nguvu kazi ya Taifa inateketea sana

Tuungane kupiga vita madawa ya kulevya! Nguvu kazi ya Taifa inateketea sana

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Wakuu hali inatisha vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa inaendelea kuteketea kila kukicha.

Hali ni mbaya wakuu!

FB_IMG_1698688622684.jpg
 
Vijana wanaoharibikiwa na madawa ya kulevya idadi yao ni ndogo ukilinganisha na nguvu kazi kubwa ya vijana waliopoteza muelekeo kwenye maisha kutwa kushinda kubet ushoga etc, na watoto wa kike saiv biashara ni moja tu mjini kudanga..hili janga kubwa sana
 
Nasikia hao wenye Dunia wanataka kusubstitute madawa ya kulevya kwenda kwenye betting
 
Back
Top Bottom