Tuungane kupiga vita madawa ya kulevya! Nguvu kazi ya Taifa inateketea sana

Vijana wanaoharibikiwa na madawa ya kulevya idadi yao ni ndogo ukilinganisha na nguvu kazi kubwa ya vijana waliopoteza muelekeo kwenye maisha kutwa kushinda kubet ushoga etc, na watoto wa kike saiv biashara ni moja tu mjini kudanga..hili janga kubwa sana
 
Nasikia hao wenye Dunia wanataka kusubstitute madawa ya kulevya kwenda kwenye betting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…