Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

Unaitwa mwalimu nani vile
 
Aaaahaaaa
 
Watu wajinga kama wewe ndo sababu ya taifa hili kuendelea kua masikini.
Baada ya kuibana serikali iwalipe watumishi wa umma vizuri ili purchasing power iongezeke mtaani then uchumi ukue
 
Kumbe unaropokaropoka tu hata mishahara yao huijui! Ndiyo maana umeambiwa wagogo ni wachafu.
Usiwashambulie wagogo aisee hizi tabia zilishapigwa marufuku tangu enzi za mwl. Nyerere baba wa Taifa hili kwaio jenga hoja acha ukabila.
 
Kweli kabisa ila nahisi mama atafanya kweli may mosi ya mwaka huu
Sahau,, yaani aongeze mwaka jana halafu mwaka huu tena?, Hiyo hela imetoka wapi, maana hata akiongeza buku tano, bado ni hela ndefu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…