Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Sisi sote ni binadamu tuwe na utu, walimu sio mbwa ni binadamu kama sisi. Wanaishi Kwa mateso kama wapo kuzimu ninaomba wanachama wote wa jamiiforums tuandae siku maalum ya kuandaa thread juu ya matatizo na changamoto zinazowakumba walimu, haki zao wanazonyimwa na maslahi Yao. Hiyo siku ijae thread za walimu tuuuu, yani iwe ni walimu mwanzo mwisho mpaka serikali isikie kilio Chao.

Walimu nao ni watu tunaishi nao mitaani, kama ilivyo Kwa watumishi wengine Tunaomba nao pia wapewe heshima Yao nawathaminiwe pia maana hii serikali imezoea kuwapuuza sana walimu. Walimu msikubali kuchelewa daini haki zenu walahi mimi kama mpwayungu village nipo pamoja na nyinyi Kwa lolote lile [emoji120][emoji120]
 
Kampeni yako nimeipenda ni kama unawaponda walimu ila ukiangalia kwa undani ni kama una
1. iambia serikali iwakumbuke hata kwa posho
2. Waambia walimu wenyewe wajipe thamani na kuacha kufanya mambo yanayowafanya wadharaulike.
3. Unaziamsha akili zao wadai haki yao
4. Unapigania maslahi yao bila wewe kujua au au huku ukijua sema umetumia indirect ways.

by jicho la muona mbali
 
Walimu wa (60's na 70's) very respected e.g daniel moi, mwl nyerere

Wa

2010's ni very njaarected

Know the diff kongolo [emoji19][emoji19]
JamiiForums2063954283.gif
 
Kampeni yako nimeipenda ni kama unawaponda walimu ila ukiangalia kwa undani ni kama una
1. iambia serikali iwakumbuke hata kwa posho
2. Waambia walimu wenyewe wajipe thamani na kuacha kufanya mambo yanayowafanya wadharaulike.
3. Unaziamsha akili zao wadai haki yao
4. Unapigania maslahi yao bila wewe kujua au au huku ukijua sema umetumia indirect ways.

by jicho la muona mbali
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Watakuja kunitukana subiri
 
Sisi sote ni binadamu tuwe na utu, walimu sio mbwa ni binadamu kama sisi. Wanaishi Kwa mateso kama wapo kuzimu ninaomba wanachama wote wa jamiiforums tuandae siku maalum ya kuandaa thread juu ya matatizo na changamoto zinazowakumba walimu, haki zao wanazonyimwa na maslahi Yao. Hiyo siku ijae thread za walimu tuuuu, yani iwe ni walimu mwanzo mwisho mpaka serikali isikie kilio Chao.

Walimu nao ni watu tunaishi nao mitaani, kama ilivyo Kwa watumishi wengine Tunaomba nao pia wapewe heshima Yao nawathaminiwe pia maana hii serikali imezoea kuwapuuza sana walimu. Walimu msikubali kuchelewa daini haki zenu walahi mimi kama mpwayungu village nipo pamoja na nyinyi Kwa lolote lile [emoji120][emoji120]
You must be totally crazy!

Yaani siku nzima tukae tunajadili waalimu wakati C.W.T inawakata kila mwezi.

Kama wanajitambua kwanza wajiondoe huko kwenye lichama lao wanakoliwa na wajanja ndipo tutakapoweza kuwasemea.

Pili, nakukumbusha kuwa ndo huwa wanasimamia uchaguzi, Sensa, Anwani za makazi n.k
Kama serikali ingekuwa haiwapendi isingekuwa inawapatia fursa kama hizo.

Tatu, usisahau kuwa ualimu ni wito.

Nawasilisha
 
Kampeni yako nimeipenda ni kama unawaponda walimu ila ukiangalia kwa undani ni kama una
1. iambia serikali iwakumbuke hata kwa posho
2. Waambia walimu wenyewe wajipe thamani na kuacha kufanya mambo yanayowafanya wadharaulike.
3. Unaziamsha akili zao wadai haki yao
4. Unapigania maslahi yao bila wewe kujua au au huku ukijua sema umetumia indirect ways.

by jicho la muona mbali
Walimu hawana MATATIZO madogo ya utumishi Kama wengine. Ila Kuna pepo baya limewakuta walimu wameharibika tu kisaikolojia.

=====

Baada ya Idara ya:
  • Afya
  • Engineering
  • Sheria (Law school)

Anayefuata kwa Mshahara mkubwa hapo ni Mwalimu. Walimu wa Sayansi Sasa hivi mishahara yao Ina upendeleo Maalum, wanaanzia ngazi ya tatu juu ya walimu wengine.

Wakati watumishi wengine huchukua likizo ya SIKU 28 Mara moja kwa MWAKA, Mwalimu ananufaika na LIKIZO kila wanafunzi wakifunga shule MARA 4 kwa MWAKA.

Mwalimu mwenye MADARAKA Wana POSHO Maalum ya madaraka, wakati hata Ma-Incharge vituo vya Afya na Zahanati WANAJITOLEA tu.

Sasa sijui unapobweka kuhusu Walimu unamaanisha NI?
 
You must be totally crazy!

Yaani siku nzima tukae tunajadili waalimu wakati C.W.T inawakata kila mwezi.

Kama wanajitambua kwanza wajiondoe huko kwenye lichama lao wanakoliwa na wajanja ndipo tutakapoweza kuwasemea.

Pili, nakukumbusha kuwa ndo huwa wanasimamia uchaguzi, Sensa, Anwani za makazi n.k
Kama serikali ingekuwa haiwapendi isingekuwa inawapatia fursa kama hizo.

Tatu, usisahau kuwa ualimu ni wito.

Nawasilisha
Serikali haiwapi fursa Bali inawatumia Kwa maana walimu ni very cheap, kumwambia mwalimu asimamie zoezi la sensa au uchaguzi ni rahisi zaidi kuliko kumwambia engineer au daktari maana watadai pesa nyingi na huwa hawataki kuburutwa ila mwalimu kazi ya wiki mbili hata kwa laki moja anapiga
 
Walimu hawana MATATIZO madogo ya utumishi Kama wengine. Ila Kuna people baya limewakuta walimu wameharibika tu kisaikolojia.

=====

Baada ya Idara ya:
  • Afya
  • Engineering
  • Sheria (Law school)

Anayefuata kwa Mshahara mkubwa hapo ni Mwalimu.

Wakati watumishi wengine huchukua likizo ya SIKU 28 Mara moja kwa MWAKA, Mwalimu ananufaika na LIKIZO kila wanafunzi wakifunga shule MARA 4 kwa MWAKA.

Mwalimu mwenye MADARAKA Wana POSHO Maalum ya madaraka, wakati hata Ma-Incharge vituo vya Afya na Zahanati WANAJITOLEA tu.

Sasa sijui unapobweka kuhusu Walimu unamaanisha NI?
Navipi kuhusu overtime na per diem, house na food allowances wanapewa pia walimu?
 
Sisi sote ni binadamu tuwe na utu, walimu sio mbwa ni binadamu kama sisi. Wanaishi Kwa mateso kama wapo kuzimu ninaomba wanachama wote wa jamiiforums tuandae siku maalum ya kuandaa thread juu ya matatizo na changamoto zinazowakumba walimu, haki zao wanazonyimwa na maslahi Yao. Hiyo siku ijae thread za walimu tuuuu, yani iwe ni walimu mwanzo mwisho mpaka serikali isikie kilio Chao.

Walimu nao ni watu tunaishi nao mitaani, kama ilivyo Kwa watumishi wengine Tunaomba nao pia wapewe heshima Yao nawathaminiwe pia maana hii serikali imezoea kuwapuuza sana walimu. Walimu msikubali kuchelewa daini haki zenu walahi mimi kama mpwayungu village nipo pamoja na nyinyi Kwa lolote lile [emoji120][emoji120]
Mwalimu mpwayungu village naungana mawewe
 
Back
Top Bottom