Tuvalu: Ifahamu nchi yenye urefu wa Kilomita 12 na mtaa mmoja raia wake wote wanafahamiana

Tuvalu: Ifahamu nchi yenye urefu wa Kilomita 12 na mtaa mmoja raia wake wote wanafahamiana

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
  • Ina urefu wa Kilomita 12
  • Ina kituo kimoja cha polisi
  • Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano
  • Ina bank moja tu
  • Ina hotel moja tu
  • Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote
  • Airport yake hutumika kwa football pia
  • Karibu Tuvalu
 
Kufika huko si mchezo. Nilienda huko kupitia Fiji. Nilitoka Dar kupitia Abudhabi masaa ma 5 na nusu, Abudhabi Melbourne Australia 15 hrs non stop, Melbourne to Fiji masaa 5 na nusu. Then ndege ya kwenda Suva Fiji saa moja. Then kwenda Kisiwani. Nauli yake ujiandae.
Mwendo na mikato yote hiyo Mkuu, nauli ni dollar mia ngapi?
 
Kufika huko si mchezo. Nilienda huko kupitia Fiji. Nilitoka Dar kupitia Abudhabi masaa ma 5 na nusu, Abudhabi Melbourne Australia 15 hrs non stop, Melbourne to Fiji masaa 5 na nusu. Then ndege ya kwenda Suva Fiji saa moja. Then kwenda Kisiwani. Nauli yake ujiandae.
Unamaliza nusu wiki nzima kwenye ndege angani
 
Back
Top Bottom