Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
- Thread starter
- #21
👇Bei gani kwenda huko?
Kufika huko si mchezo. Nilienda huko kupitia Fiji. Nilitoka Dar kupitia Abudhabi masaa ma 5 na nusu, Abudhabi Melbourne Australia 15 hrs non stop, Melbourne to Fiji masaa 5 na nusu. Then ndege ya kwenda Suva Fiji saa moja. Then kwenda Kisiwani. Nauli yake ujiandae.