Tuvalu: Ifahamu nchi yenye urefu wa Kilomita 12 na mtaa mmoja raia wake wote wanafahamiana

Bei gani kwenda huko?
πŸ‘‡
 

Asante,inaonekana itakua gharama sana nauli ya huko
 
nchi nzima ina wafungwa 3
Na mfungwa unaruhusiwa kwenda kufanya kazi, jioni unarudi gerezani.

Bongo waige hii kwa wafungwa wa kesi ndogo ndogo.

Unakua unaruhusiwa kwenda mishe, jioni unarudi na posho segadance
 
Ilah kuna visu aiseee kuna mshangazi apo dakika za mwisho nimemuona kala gauni jeupe sihaba
 
Kulikuwa hakuna umuhimu wa kuweka barabara,km 12 tu,kungekuwa na vinjia tu

Hcho kisiwa kimetokana na maeneo hayo kuwepo makutanio ya upepo yaliyosababisha kujaza mchanga maeneo hayo,kwangu mim sio salama kuishi hapo
Ni kweli hata wao wanasema "...we are sinking"
 
Cha ajabu last Olympic games huko France walipeleka wanamichezo wengi kuzidi Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…