TUVALU:- Nchi iliyopo hatarini kumezwa na bahari.

TUVALU:- Nchi iliyopo hatarini kumezwa na bahari.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Screenshot_20211228-145509_Lite.jpg
 
Kwanini tusiende kuwatawala tunasubiri nn?
Tuvalu ni nchi ambayo hautakiwi kuwa na visa ili uingie. Lakini pia ni nchi inayopata wageni wachache sana.
  • Ndege za kwenda huko ni adimu sana
  • Nchi haipokei credit card
  • Nchi nzima haina ATM 🏧 machines
  • Nchi nzima kuna Hotel moja tu na guest Houses chache sana
 
Nikikua najua Fiji ndo nchi ndogo kiliko zote duniani kumbe kuna Tuvalu
 
Tuvalu ni nchi ambayo hautakiwi kuwa na visa ili uingie. Lakini pia ni nchi inayopata wageni wachache sana.
  • Ndege za kwenda huko ni adimu sana
  • Nchi haipokei credit card
  • Nchi nzima haina ATM 🏧 machines
  • Nchi nzima kuna Hotel moja tu na guest Houses chache sana
Kuna mamantilie kweli huko ?

Au tukienda itatubidi tubebe "indyali" kutoka Kiwira sokoni, tukifika tutaazima masufuria tu kwa wenyewe ?
 
Back
Top Bottom