Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umaskini kitu kibaya mkuu. Theluthi moja ya uholanzi iko chini ya usawa wa bahari lakini wanadunda.
Umaskini kitu kibaya mkuu. Theluthi moja ya uholanzi iko chini ya usawa wa bahari lakini wanadunda.
Hizi tawala za aina ya maCCM ni maana kwa nchi.
Duuuh kama chattle
Kwanini tusiende kuwatawala tunasubiri nn?
Tuvalu ni nchi ambayo hautakiwi kuwa na visa ili uingie. Lakini pia ni nchi inayopata wageni wachache sana.Kwanini tusiende kuwatawala tunasubiri nn?
Tufanye Kama Zanzibar, Tuzunguuke FasterKwanini tusiende kuwatawala tunasubiri nn?
Kama tulivyofanya kwa Zanzibar!Kwanini tusiende kuwatawala tunasubiri nn?
Duh hayo mabati kama kaburi la dead stone!.
Nimecheka sana aiseeeDuh hayo mabati kama kaburi la dead stone!.
hii front end kama NBC ya Tazara
Yeahhii front end kama NBC ya Tazara
Kuna mamantilie kweli huko ?Tuvalu ni nchi ambayo hautakiwi kuwa na visa ili uingie. Lakini pia ni nchi inayopata wageni wachache sana.
- Ndege za kwenda huko ni adimu sana
- Nchi haipokei credit card
- Nchi nzima haina ATM 🏧 machines
- Nchi nzima kuna Hotel moja tu na guest Houses chache sana