Tuwaadhibu walioharibu miundombinu yetu

Kwa ùjinga na Upumbavu wako unaona Miundombinu ni bora zaidi ya maisha ya vijana zaidi ya 10,000 waliouwawa kikatili na serikali ovu Oct 29,2025.
Upumbavu ni kudhani waliochoma miundombinu ya umma na mali binafsi kwa kisingizio kuwa wana haki, walikuwa sahihi
 
Ety kisa PAYE

Ufisadi unaofanywa Kwani hajui kama PAYE nayo inahusika au
kama una ushahidi unaenda mahakamani sio kuchoma TRA. Waliouawa walikuwa na sifa ya kuawa, na walikuwa wakiuawa hivyohivyo miaka yote. Wanaovunja na kuiba bank wanauliwa miaka yote, ila wewe unataka hawa wa oct 29 wasiuliwe. Wameuliwa bhana, na wakifanya tena watauliwa wengine tena, niamini mimi. Wananchi wamelidhia hilo ndiyo maana wako kimya.
 
Upumbavu ni kudhani waliochoma miundombinu ya umma na mali binafsi kwa kisingizio kuwa wana haki, walikuwa sahihi
Eti wananchi waliokosa usafiri kwa mwendokasi wao kuunguzwa hawana haki kuliko wale waliouchoma. Katiba inasema haki ya umma (wengi) haiwezi kuchukuliwa na haki ya mtu au watu wachache. Ndiyo maana tunaweza kukuhamisha makazi yako ili kupisha mradi wa barabara ujengwe. Kama wananchi wasingelidhia wahuni wale wauliwe ili kuzima uasi sasa hivi ungewaona mitaani wakiandamana kuipinga serikali.
 
Si walishakamatwa na bado wanaendelea kukamatwa ila huyu Lord Denning bado hajakamatwa kwa kuwa nasikia alikimbia nchi yuko nje ya nchi. Nafikiri vyombo vyetu vya ulinzi na usalama lazima watamkamata tu siku akirudi TZ hawezi akaharibu mali za umma halafu wamuache tu
 
Chanzo chake unakijua?au unaangalia matokeo tu?
hakuna mtu anaweza kukudhuru kama hujafanya kosa lolote haswa kwa tanzania ni nadra sana kutokea, hivo mlicho kitafuta mmekipata, however ni kosa kubwa kulitumia kisiasa kwan kila mtu aliona kabisa uizi uliofanyika pamoja na kuchoma miundo mbinu

hivo basi wewe kuanza kutetea kilichotokea ni kutetea ujinga, however sisi tunajua kabisa mnaitumia kisiasa hivo tunajua namna ya kudeal na tukio kama hilo!

Mngekua mmegusa sana na kilichotokea mngekua mmenda kutoa msaada na pole kwa familia ila kwa kua mmeona njia ndo hio hio basi watu walishawashtukia mda mrefu sana
 
kaiadhibuni mvua kwa kusababisha kusitishwa huduma za SGR.
 
Wote wataadhibiwa na adhabu yao ni kuwa familia zao hazitawaona tena, bahati nzuri walikua wanajirekodi wenyewe sura zinafahamika.

Hakuna huruma kwa nyumbu.
 
Kama wakiacha kuwaadhibu wote ipasavyo kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu watapoteza sifa ya kuiongoza nchi kwa mujibu wa Katiba walioapa kuilinda. Itaonekana ni serikali legelege na dhaifu kupindukia kuwahi kuwepo Tanzania.
 
Wa kwenda jela ni hao waliosababisha iwe ikawa
Sisiem ni CANCER
 
Miondombinu yenyewe imeshajifia waandamanaji walifanya finishing ndogo tu.Wanyongwe waliopiga pesa za SGR leo hii imegeuka daladala.
 
Wote wataadhibiwa na adhabu yao ni kuwa familia zao hazitawaona tena, bahati nzuri walikua wanajirekodi wenyewe sura zinafahamika.

Hakuna huruma kwa nyumbu.
Kama Nyerere aliwahi kuwatia adabu rafiki zake Oscar Kambona, Bibi Titi Mohamed, Mzee Jumbe, na wengine waliokengeuka Rais Samia anataka kushindwa nini. Tanzania haikuitwa kisiwa cha amani burebure tu, kuna watu waliadhibiwa vikali sana ili kudumisha amani hii tunayotamba nayo.

Mzee Mwinyi na Nyerere walihangaika na wahuni akina Njelu, Maalim, Lyatonga na wenzake. Kikwete akahangaika na UKAWA na Magufuli akahangaika na akina Lissu na wahuni wa Kibiti.
 
Madelu katika Moja na mbili,
 
Miondombinu yenyewe imeshajifia waandamanaji walifanya finishing ndogo tu.Wanyongwe waliopiga pesa za SGR leo hii imegeuka daladala.
Kama kuna unalolijua peleka mahakamani wakahukumiwe. Kwenye hiyo kesi ya aina hiyo wananchi wengi watakuunga mkono.
 
Usiwahau askari wote walioua watu, wakubwa wao wa vikosi, IGP, waziri wa mambo ya ndani + raisi. Hawa wote washtakiwe kwa kusapoti mauaji ya raia october 29, 2025. Mpaka leo hakuna polisi, waziri au raisi aliyekamatwa, aliyefunguliwa kesi au aliyejiuzu wameona ni sawa tu. Basi kama mnaona mali ni bora kuliko uhai wa watu ipo siku karma italipa yote haya
 
Ulipokuwa unafyatulia risasi za vichwa wananchi ulikuwa unatekeleza hukumu gani ya mahakama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…