Tuwaadhibu walioharibu miundombinu yetu

Barabara za lami zilizojengwa na wakandarasi wazawa huo moto wa matairi kidogo tu barabarani zimekuwa mahandaki seheme hizo!!πŸ˜€

Wazawa bado sana na sijajua viraka wanasubiri nini kuweka na kodi tunalipa miezi miwili sasa baada ya sekeseke!!
 
Collateral damage! Ikifikia Hali kama hiyo unayekutwa kwenye tukio ndiyo unalipia gharama...kwani hao wahalifu walikuwa na badge maalum kwamba polisi anapowatawanya anajuwa huyu ni mhalifu na huyu anaandamana Kwa amani?
Kwahiyo sheria inasema kwamba kukiwa na situation kama hiyo aliyepo mbele ni kuua tu? Hivi nyinyi vichwani mna matope? Sasa jeshi lina kila aina ya vifaa vya kutuliza ghasia ,unapambana na mtu ambaye hana hata fimbo kwa kumpiga risasi ya kichwa?
 
Kwahiyo sheria inasema kwamba kukiwa na situation kama hiyo aliyepo mbele ni kuua tu? Hivi nyinyi vichwani mna matope? Sasa jeshi lina kila aina ya vifaa vya kutuliza ghasia ,unapambana na mtu ambaye hana hata fimbo kwa kumpiga risasi ya kichwa?
Wewe ulikuwepo kwanza? Au tunabishana wote tulikuwa uvunguni. SASA kama hukuwepo unajuaje option zingine zilifail? Halafu nasikia kuna Askari waliuwawa unadhani fimbo Tu inaweza kuuwa askari?

Mtu anayechoma kituo cha polisi unamfikiriaje? Alikuwa anatafuta nini huko vituoni ambako of course kuna siraha. Mimi Nina matope kichwani ila wewe Mwenye dhahabu hapo kwenye komwe lako utujibu basi
 
Kwani lazima niwepo ndiyo nijue kilichotokea? Video clips zote kilichokuwa kinatokea haujaziona? Kuna waandamanaji walikuwa wameshika mitutu? Clips za maaskari wakupiga risasi hovyo hovyo zipo ,askari wakitesa watu zipo ,askari wakiingia ndani ya nyumba za watu zipo ,clips za waharifu wakipora mali zipo ,nionyeshe clips za waandamanaji wakiwa na mitutu wakiwaua polisi.
 
Manipulated videos .Hizo ni video alizotaka Mange na Maria Sarungi uzione ili propaganda ikuingie vizuri.
Naomba tupandishie hapa video moja isiyo na Shaka inayoonesha Askari akiingia kushoot watu ndani (narudia isiwe ya propaganda iwe Askari anaingia anashoot halafu anatoka)
 
Mods wakusaide hapo kwenye username. Badala ya t waweke n
 
Muliro si alishasema video ni AI? CNN si walishatoa ripoti yake kuhusu askari walivyoua raia kwa msaada wa satelite au haujaona Report ya Larry Madowo? Kwani Mange na Maria walikuwa TZ wanarekodi? Propaganda kivipi? kwani ile Miili iliyodampiwa Mwananyamala ni propaganda siyo halisi? Kwahiyo Sharifu Majini ,Master Tindwa ,Producer wa Azam Radio ,Dada Muendesha malori hawakuuawa ni propaganda?
 
Wakamatane wote waswekwe ndani!!kamata watu wote Nchi nzima
 
Ukonga ni nje ya nchi siku hizi?
 
Choma.choma inaendelea
 
Kaadhibu uchi wa mamako na kahaba samia kwanza wewe ***** Toto LA kahaba , Mali za mafisadi ndio kvma kama wewe unaita miundombinu ,fala wewe
 
Wajinga hamjaisha na bado aibu hamna mnakuja kujitapa.

Kama adhabu ya kuchoma kituo cha mafuta je adhabu ya kuhatarisha maisha ya watu kwa ubovu wa miundombinu ya treni adhabu yake ni ipi?

Mmeshindwa kukamata hawa vishoka mradi hauna hata mwaka , kimepiga kimvua kidogo tu tayari defect za kazi duni zimeonekana .

Majizi yalishakwapua 10% sasa hayana habari.

Na huu ni mradi usio hata na miaka 2.

 
Acha kuruka ruka kama maharage yanayochemka! leta video ikionesha polisi wakiingia ndani kushoot na kutoka hao waliouwawa nimekwambia ni collateral damage. Umekaa eneo la tukio umeambiwa uondoke umekaidi . Siyo kazi ya Askari kujua aliyechoma sheli ni yupi maana hamkuwa na uniform
 
Ngoja wakikufikia na wewe kisha ujitokeze kuja kuongea utopolo huo unaoongea sasa hivi.
Mali zinatafutwa,wewe tangu uzaliwe ushawahi kuona duka la kuuza roho za watu?
unaongea ujinga, mali sio bandama kwamba kila mtu anaweza kua nazo, mngekua na akili mngechoma biashara zenu na kuzirekodi ili muonyeshe kwamba mali zinatafutwa
 
unaongea ujinga, mali sio bandama kwamba kila mtu anaweza kua nazo, mngekua na akili mngechoma biashara zenu na kuzirekodi ili muonyeshe kwamba mali zinatafutwa
Kwa hiyo unafurahia binadamu kutolewa uhai kisa umepoteza kiduka chako si useme tu watu wakuchangie,Watanzania ni watu wenye huruma ukiongea nao vizuri ndani ya siku moja tu duka lako linarudi ila uwe unajua kuongea vizuri na kunyoosha maelezo kama mtu mwenye akili timamu sio kwa uongeaji kama huu unaoongea hapa watu watakuona kama taahira na kukudharau
 
Mchangie? yaani mpaka mmende kuchoma mali za watu si ndo umaskini huo, huezi kua tajiri na ukawa na wivu kama huo, kwa lugha nyepesi nyie ni wajinga na mlistahili mlichokipata! ingekua mm nna biashara maeneo ya sehem mlikua mnasumbua mbna mngenyooka ningekua kama mmiliki wa care four super market ya kenya, hii tabia bila watu kutolewa uhai itakua sugu hivo mlichokitafuta mmekipata

However, acheni kutumia vifo kama njia zenu za siasa kwan haisaidii chochote bali mnazidi kuonekana vichaa
 
Hiyo ni tofauti na hii yetu hapa. Hapa kwetu kulikuwa na wageni kutoka nchi ya nchi wametuvamia. Pili, hapa kwetu walipanga iwe nchi nzima. Tatu, hapa kwetu waliharibu miundombinu mama ya nchi tofauti na huko. Hebu niambie hali ilikuwaje wakati wale wakatalunya walipotaka kujitenga?

View: https://youtu.be/1y0YRybNZI0?si=I0pIhZ8PMTrUwzWt
 
Kaka Katiba na sheria zetu ni lazima zifuatwe. kama tukiruhusu busara ndizo zitumike nchi itapotea. Tusiruhusu serikali na nchi iendeshwe kwa kutumia maoni na busara za mtu, iko siku tutakujakujuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…