Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

Wanawake tuwe na msimamo basi....
Tunataka hela au machangamshooo.

Binafsi nataka hela machangamsho yatakuja yenyeweee...
OVER
Hadi OVER kweli...Hii hela inaleta shida sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wape tunda walile kimasikhara ndo watachangamkaπŸ˜‚
 
Muhimu anajua kufunuana usiku

Hayo mengine ya kuchangamka atachangamka akikuzoea sana
Tena ukizingatia kufunuliwa ndo kilimchomfanya awe naye..!! Hayo mengine hata kwa babaake anaweza yapata akiamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…