IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Gruu hana nywele ni balding 👨🦲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gruu hana nywele ni balding 👨🦲
Acha mambo yako wewe picha ya mwaka jana unaitumia leo😀Hiyo nilitumiwa mwaka jana na ofisi niweke status kwa ajili ya birthday 😂😂😂😂
Hadi OVER kweli...Hii hela inaleta shida sana 😂😂😂Wanawake tuwe na msimamo basi....
Tunataka hela au machangamshooo.
Binafsi nataka hela machangamsho yatakuja yenyeweee...
OVER
Ndio iliyokaribu na mimi si mpenzi wa kupiga picha sana hapo kwenye walinivizia nilikua nacheki headlines asubuhi nilipokua ofisini...Acha mambo yako wewe picha ya mwaka jana unaitumia leo😀
ndugu ye34nbe ikiwezekana uwe unapitia kila post yangu unipige dislike nataka kuongoza kwa dislikes humu JF😀Ndio iliyokaribu na mimi si mpenzi wa kupiga picha sana hapo kwenye walinivizia nilikua nacheki headlines asubuhi nilipokua ofisini...
SawaNjoo kwangu minimpole zaidi ya huyo...😊
Hizi kiki kweli ni mambo ya kufosifosi 😂😂😂ndugu ye34nbe ikiwezekana uwe unapitia kila post yangu unipige dislike nataka kuongoza kwa dislikes humu JF😀
big up brother 👏
ndugu umepotea kule uzi pendwa ...wa DAR vs NAIROBIHawa viumbe hawa, very complicated, ukitulia hataki, ukiwa kiherehere hataki....
😂😂😂😂 Hajamaanisha kama Wewe ulivyo maanisha, ya kichwaniAnauliza hiyo minywele ya wapi uliyoiona😂😂😂
Kichwa kipi cha juu au cha....😂😂😂😂😂😂😂😂 Hajamaanisha kama Wewe ulivyo maanisha, ya kichwani
sas kama kutakuwa na tuzo siku za usoni za kupata dis hutak nishimde?Hizi kiki kweli ni mambo ya kufosifosi 😂😂😂
Cha juu😂C kipi cha juu au cha....😂😂😂😂
huoni hapo niko na nywele🤣 huwa nachagua kunyoa nikiamua naziacha zinakua😀Gruu hana nywele ni balding 👨🦲
Tena ukizingatia kufunuliwa ndo kilimchomfanya awe naye..!! Hayo mengine hata kwa babaake anaweza yapata akiamuaMuhimu anajua kufunuana usiku
Hayo mengine ya kuchangamka atachangamka akikuzoea sana