darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,863
- 6,041
Gwappo Mwakatobe burianiNdugu zangu wana JF tuwakumbuke na kuwaenzi members wote walio tangulia mbele za haki, wapo members wengi sana waliofariki sisi bila kujua chochote, tusichoke kujuliana hali, ukiona member mwenzako yupo kimya usisite kumtafuta na kumjulia hali ,ukikaa kimya pengine usikute ameshafariki bila sisi wana JF kujua. Tuzidi kuombeana mema na Mungu atupe mwisho mwema.
Poa za kabisaa.ChmbnNiko poa. Hali yako?
Mbona kinyonge sana Mobutu JrSawa mkuu