Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Bwashee ☺️ ☺️ 😁 uliletaga TAHARUKIINipo bwashee
Bwashee ☺️ ☺️ 😁 uliletaga TAHARUKIINipo bwashee
Alipenda kusema nawatakia Dominika njemajohnthebaptist rest easy Buddha
Ndio nimeona huu uzi leo ,kuna mwamba mpaka kanitupia R.I.PBwashee ☺️ ☺️ 😁 uliletaga TAHARUKII
Ya kweli hii?johnthebaptist rest easy Buddha
Mzeee ulituletea TAHARUKII 🤔 acha tuu..Ndio nimeona huu uzi leo ,kuna mwamba mpaka kanitupia R.I.P
Nipo mkuu na nikifa lazaima taarifa mtazipata tu , humu nina watu kama wa tano wananifahamu vizuri tu, lazima watatoa ripoti .Mzeee ulituletea TAHARUKII 🤔 acha tuu..
Tulizoeana sanaa sanaa duu gaflaa UKAWA HUPATIKANIKIIII
Habari yako Holoholohapana,holoholo yule ninaemfahamu yamkini hawezi kuwa mimi.
Bado sijafa mkuu
I love you 😘Bado sijafa mkuu
King Kong IIIYa kweli hii?
Mimi sina mtu anae nijuaNipo mkuu na nikifa lazaima taarifa mtazipata tu , humu nina watu kama wa tano wananifahamu vizuri tu, lazima watatoa ripoti .
Huyo tangia JF ilipofungiwa sept 6 akapotea ,means hajui hata VPN ni nini.
Hapo ndio kusema hafilwe munu au?Huyo tangia JF ilipofungiwa sept 6 akapotea ,means hajui hata VPN ni nini.
No..!johnthebaptist rest easy Buddha
Ndio tunafanya VAR Checking hapa tuone vipi ni kweli au badoNo..!
Uhakika kwamba amenyakuliwa!?
Duuh!johnthebaptist rest easy Buddha
Tunajaribu kumuita aje sio kwamba tayari, Mzee Mgaya nadhani atakua bado yupoDuuh! Mkuu katutoka lini huyu?