Tuwaenzi na kuwakumbuka wanaJamiiForums waliotangulia mbele za haki

Tuwaenzi na kuwakumbuka wanaJamiiForums waliotangulia mbele za haki

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Ndugu zangu wana JF tuwakumbuke na kuwaenzi members wote walio tangulia mbele za haki, wapo members wengi sana waliofariki sisi bila kujua chochote, tusichoke kujuliana hali, ukiona member mwenzako yupo kimya usisite kumtafuta na kumjulia hali ,ukikaa kimya pengine usikute ameshafariki bila sisi wana JF kujua. Tuzidi kuombeana mema na Mungu atupe mwisho mwema.
 
Back
Top Bottom