MM nahisi zile coaster 80 pale njia pandaa alikuwa kweny box...nipo huku moshi nitapata taarifa zake
Yani acha tu kuna uzi nauandaa nimebadili dini na kuwa mkristo. Hakika Yesu ni Mungu. Siutaki tena uislam.Pole sana kwa kupoteza akaunti yako muhimu ya heshima
AmenMakamanda wetu walale mahala pema Amen
Jamaa nadhani kabadili ID maana haonekani jukwaani.@Holoholo yu wapi kijana machachali na mcheshi kabisa hasa kuhusu mada za ngono? Mwenye access nae amsalimie. Cc Mallerina secretarybird SweetyCandy Tate Mkuu
Huyu jamaa siku akipost humu nitafurahi sana. Sina hakika kama yupo hai
Naona multiple ID zimegongana. Hivi kuna faida ganiNdo mimi mwenyewe
hapana,holoholo yule ninaemfahamu yamkini hawezi kuwa mimi.We si ndo holoholo
HandsomeNdo mimi mwenyewe