Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Mara ajiite Emily 😂😂💔Huyu kijana ni msumbufu sana. Anabadilika badilika kama kinyonga. 😀
Kila siku anakuja na ID mpya.
Mara ajiite Emily 😂😂💔Huyu kijana ni msumbufu sana. Anabadilika badilika kama kinyonga. 😀
Kila siku anakuja na ID mpya.
Wewe hujamboo unaendeleaje??Huyu kijana ni msumbufu sana. Anabadilika badilika kama kinyonga. 😀
Kila siku anakuja na ID mpya.
Hajafa yupo ten kwa jimama lenye wezereee acha tuDu kuna huyu mwamba mzabzab
Mkuu Erythrocyte sijui kama amenusurika sio Kwa ukimya huuKwa hakika 29-3 October iliondoka na baadhi ya members wa JF.
Naweka shada la maua.
Kama ameenda namwombea akae pema, kama ana mgogoro wa afya apone, kama amebadili ID atuambie.Mkuu Erythrocyte sijui kama amenusurika sio Kwa ukimya huu
AminaKama ameenda namwombea akae pema, kama ana mgogoro wa afya apone, kama amebadili ID atuambie.
Hi Mwachi, am fine namshukuru Mungu,natumai sote tuko poa
Amen 🙏Amina
Hakika
Mungu mwema sana sijakuona mda mrefuHi Mwachi, am fine namshukuru Mungu,natumai sote tuko poa
namwombea sana Mzee wangu mcheshi Grahams huko aliko.
Kumbe huwa mnaonana na hamsemiMungu mwema sana sijakuona mda mrefu
Tulikua washikaji sanaa Tulikua wazee wa pombeee 😊.Huyu jamaa siku akipost humu nitafurahi sana. Sina hakika kama yupo hai
😆😆Kumbe huwa mnaonana na hamsemi
Nipo mkuu, mambo tu yamekua mengi ila Mungu ni mwemaMungu mwema sana sijakuona mda mrefu
Ata mimi naona nafurahi kukuona tenaNipo mkuu, mambo tu yamekua mengi ila Mungu ni mwema