King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Kweli aisee hawa jamaa huwa wanaweka likes kwenye kila comments haijalishi umepost muda ganiBwashee min -me upo kwa wapi? raraa reree Like zako zimeadimika boss.... Kama ni wazima basi Mungu ni mwema na awatunze sana ila kama ni tofauti basi pole sana kwa familia na Mpumzike mahali mnapostahili.🙏🙏
Nilimpiga Kete kwenye maandamano tarehe 29! R.I. P
I don't believe you
Nipo Mkuu,naendelea na ibada
Nipo mkuu, wewe ndio umepotea
Bwashee nipo
🤣🤣🤣🤣🤣MM nahisi zile coaster 80 pale njia pandaa alikuwa kweny box...nipo huku moshi nitapata taarifa zake
Mkuu nipo mzima kabisa, huu uzi nimeuona leo😥Huyu jamaa siku akipost humu nitafurahi sana. Sina hakika kama yupo hai
Nipo bwasheeTulikua washikaji sanaa Tulikua wazee wa pombeee 😊.
Mmaya zaidii sisi ni JF MONGER'S haipiti siku bila KUWEPO jukwaani.
Min me kama. Upo tuma japo ujumbe sio KAWAIDA kabisa