Tuwaenzi na kuwakumbuka wanaJamiiForums waliotangulia mbele za haki

Tuwaenzi na kuwakumbuka wanaJamiiForums waliotangulia mbele za haki

Ndugu zangu wana JF tuwakumbuke na kuwaenzi members wote walio tangulia mbele za haki, wapo members wengi sana waliofariki sisi bila kujua chochote, tusichoke kujuliana hali, ukiona member mwenzako yupo kimya usisite kumtafuta na kumjulia hali ,ukikaa kimya pengine usikute ameshafariki bila sisi wana JF kujua. Tuzidi kuombeana mema na Mungu atupe mwisho mwema.
Mimi namtafuta mtu wa karibu ambaye anaweza kumtaarifu Mshana Jr nikuondoka. Sina mtu mwingine ninayemuamini na kumuheshimu humu zaidi ya huyo. Ananifahamu kwa mengi, anabaki kuwa member aliyegusa maisha yangu kwa sehemu kubwa bila kujali mimi ni mbaya kiasi gani. Yani baada ya huyu sijawahi kupata rafiki wa kweli kwenye shida kama huyu mzee wa watu.

Pokea maua yako brother ungali hai, sadaka yako ikuneneee mema
 
Ndugu zangu wana JF tuwakumbuke na kuwaenzi members wote walio tangulia mbele za haki, wapo members wengi sana waliofariki sisi bila kujua chochote, tusichoke kujuliana hali, ukiona member mwenzako yupo kimya usisite kumtafuta na kumjulia hali ,ukikaa kimya pengine usikute ameshafariki bila sisi wana JF kujua. Tuzidi kuombeana mema na Mungu atupe mwisho mwema.
Kweli hawa ni mashujaaa
 
Kuna mzanzibari mwenye asili ya Indiana anko wangu kipenzi rip, ALIKUA anaishia pale stone town karibu na coffee house but now ndo hivo japo ye aliondoka mapema sana kabla ya oktoba 29, ni miongono mwa watu poa sana humu jamii forum ALIKUA anasumbukiwa na moyo ka sikosei.
 
Back
Top Bottom