Acha kuzunguuka mbuyu mkuu, wanasiasa wangapi?! sema ” mwanasiasa Samia al-maarufu Chui jike ” ananda kuipasua Tanganyika . Na huo ndio ukweli..Tanzania ya Mwl Nyerere ilijengwa katika misingi ya umoja na ndio sababu kubwa ya kufuta uchifu.
Leo taifa letu lina zaidi ya miaka 60 tangu tupate uhuru anatokea mwanasiasa mmoja anaenzi uchifu.
Mataifa kama Uganda na Nigeria ambayo yaliendelea na uchifu yalijikuta yakipata matatizo makubwa ya ukabila kwasababu yalishindwa kumaliza tawala za kichifu.
Mungu saidia taifa letu liepukane na hili tatizo la ukabila ambalo wanasiasa wanataka kulizalisha,kulipalilia na kulikuza.
Wasalamu Ngongo kwasasa Uru Kushumundu.
Zanzibar sio kwa mjaa laana huyo. Kibibi cha kiarabu kwao Oman huko kwa washenzi wenzie..Hana cha kupoteza,kwao Zanzibar hali ni shwari
Washauri wazuri anao, kwa kiburi ushauri wao anauona nonsense. Madaraka ni kilevi hasa kwa ambao hawakuyatarajia.Sijui kwanini hana washauri wazuri.
Nani kasema analeta uchifu???....angalieni mambo kwa uhalisia.Tanzania ya Mwl Nyerere ilijengwa katika misingi ya umoja na ndio sababu kubwa ya kufuta uchifu.
Leo taifa letu lina zaidi ya miaka 60 tangu tupate uhuru anatokea mwanasiasa mmoja anaenzi uchifu.
Mataifa kama Uganda na Nigeria ambayo yaliendelea na uchifu yalijikuta yakipata matatizo makubwa ya ukabila kwasababu yalishindwa kumaliza tawala za kichifu.
Mungu saidia taifa letu liepukane na hili tatizo la ukabila ambalo wanasiasa wanataka kulizalisha,kulipalilia na kulikuza.
Wasalamu Ngongo kwasasa Uru Kushumundu.
Shaka ndio mojawapo, halafu katiba mbovu, ambayo inahitaji mtu aliyejitolea ndio anaweza kuitumia vizuri amasivyo itakuwa balaa.Wasaidizi wa Rais naona wanaendelea kumpoteza tu kwa kila namna, walianza kwenye zile teuzi anateau leo kesho anatengua, naona mpaka sasa bado Rais anakosea mambo mengi, nadhani nae binafsi anastahili kubeba lawama.
Anatakiwa awe anajiuliza kama hayo anayokwenda kuyafanya yana maslahi kwa taifa au ndio yataligawa taifa, hilo jina chief Hangaya alipewa akalipokea naona amenogewa sasa anataka kuendeleza hiyo tabia kwa mikoa yote Tanzania.
Haya mambo hayana maana, tuna wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi nk hawa machifu wanaolazimishwa kuwepo sasa kazi yao ni ipi? au ni urembo tu, kwamba wanatambuliwa uwepo wao japo hawana kazi? mikoa ya Tanzania ina mchanganyiko wa makabila mengi sasa hivi, hii biashara anayoleta Rais ni kuturudisha nyuma tu kifikra wakati tulishatoka huko zamani.
Pemba na Unguja kuna machief wangapi?Hana cha kupoteza,kwao Zanzibar hali ni shwari
Acha matusi mkuu....changia kistaarabu tu.Zanzibar sio kwa mjaa laana huyo. Kibibi cha kiarabu kwao Oman huko kwa washenzi wenzie..
MaCCM na kauli mbio liwalo na liwe CCM lazima ikubalike na itawale Milele.
Na hio ni sababu nyingine kuwa Samia haifai Tanganyika....yupo pale kuvuruga tuHana cha kupoteza,kwao Zanzibar hali ni shwari
Pemba na Unguja kuna machief wangapi?Hana cha kupoteza,kwao Zanzibar hali ni shwari
Na hio ni sababu nyingine kuwa Samia haifai Tanganyika....yupo pale kuvuruga tu
Tanganyika (Tanzania bara) imetekwa, inaongozwa na raia wa kigeni (raia kutoka Zanzibar)
Sidhani hata kidogoTanganyika (Tanzania bara) imetekwa, inaongozwa na raia wa kigeni (raia kutoka Zanzibar)
Ni mwarabu kweli, kipindi hafuniki kichwa ukaziona nywele huuliziAcha kuzunguuka mbuyu mkuu, wanasiasa wangapi?! sema ” mwanasiasa Samia al-maarufu Chui jike ” ananda kuipasua Tanganyika . Na huo ndio ukweli..
Kibibi cha kiarabu kitakimbilia kwao Oman kituachie DHIKI. LAANAKUM.