Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Ivi huko kwao Zanzibar Kuna machifu, au masultani. Na sisi wabara tuanze kuwaenzi masultan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlamba kalio(Bootlicker) naona uko Kazini ukitetea ugali wako.Wazee wa ambush nawaona mnavizia kila event mpinge na kukosoa tuu, hatari sana hii.
Afadhali..kumbe mpo wenye vichwa👍Sidhani kama Rais analeta issue za ukabila ila nachokiona mimi ni kuwa kwakua aliingia madarakani bila kuwa na msingi wake wa kisiasa.
Muda huu ndio anautumia kujenga msingi wake.
Hivyo tumzoee na kuzoea events kama hizo.
Hawa machifu walisimikwa lini? Wapi? Na nani? Kwa mujibu wa utaratibu gani? Kwa minajili ipi? ili iweje?Nani kakwambia uchifu ni uchawi!? !!
Tusizidharau hizi taratibu zetu za jadi.
Jamaa yangu huwa unajikuta bingwa wa matusi sana mimi nilishapita hiyo stage hakuna tusi jipya kwangu, kama kukutukana naweza kukutukana tusi jipya kwako ambalo litakuletea sonona ila let me ignore you for good reason.Mlamba kalio(Bootlicker) naona uko Kazini ukitetea ugali wako.
Jadi ya kumvika Rais mashetani?
Kama hayo waliyomvika hapo.Mashetani yakoje kwani??
Hata mm naaamin hivyo hivyo,uchifu ni matunguli tuNawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Hizi siasa za Uchifu sio siasa salama kwa mustakabali wa nchi.
Kwanza yale maguo yenye ngozi za chui sijui wameyatoa wapi!
Niseme tu kwamba, Tanzania hakujawahi kuwa na machifu kwa muktadha wa uongozi wa kitaifa.
Machifu wa Tanzania walikuwa ni tawala chache tu ambazo zilikuwa huko kwa watu wa iringa zamani hizo.
Baadae wakoloni walipokuja, wakaunda vikundi vya wahuni wachache miongoni mwa watanzania kisha wakawavika uchifu for the benefit of white man. Hawa ndio waliohusika kuwauza wenzao utumwani.
Huu uchifu wa sasa wa Samia, sio uchifu haswa. Ni vikundi vya wachawi wanaomsimika Hangaya kwa kumpa mamlaka na utii. Ni power transfer ama alama ya utii katika mamlaka za wachawi.
Wachawi hawa wako nchi nzima. Wamejivika uchifu bandia ili kuficha sura zao halisi.
Kila mahali Rais anapopita wanamvika maguo ya kichawi.
Jamani, nchi hii inamuhitaji Mungu. Tuache kutegemea viumbe dhaifu kama mizimu.
Mungu wetu ni Mungu mwenye nguvu sana, lakini anahitaji watu wanyoofu.
Shida yenu nyinyi ni majizi na watu wa konakona, ndio maana mmemkimbia Mungu mkajikabidhi kwa viumbe wachafu na dhaifu kama majini na mizimu.
Mrudieni Mungu mwenye nguvu na mamlaka, mzitii amri zake na yeye awafanye kuwa wake.
Hayo maguo ya mizimu hayawezi kuwasaidia lolote. Mnajidaganya.
Uchawi na CCM ni kitu kimoja.Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Mwenge je?Hata mm naaamin hivyo hivyo,uchifu ni matunguli tu
Mchawi Mkuu.Na kiongozi wao ni chief hangaya
Hakuna chifu hapo.Hawa wameibuka kutoka wapi?
Na je wana impact gani katika maisha yetu kwa ujumla?
Sijawahi kusikia Chifu anatoa neno lolote kwenye jumuiya yetu
Hata kusifu au kukemea kitu ila ghafla tunasikia chifu wa huku na kupewa uchifu sijui nini
Kabisaaa nakazia hapa!Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.